Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kujua wanashtakiwa kwa kosa lipi
Hao wabakaji na walawiti tumewatoa kwa maslahi yetu kisiasa mkuuWakati huo huo wabakaji na walawiti kina Babu Seya kawaachia huru...
Hii inawezekana Tanzania peke yake...
Meanwhile, kuna kata wamepitisha sheria ndogo ndogo kuwa mwanaume akionekana kasimama na mwanafunzi njiani au sehemu yoyote inayotia mashaka, mtu huyo atatandikwa viboko hadharani au kulipa faini ya pesa au vyote kwa pamoja.Wasichana watano waliotiwa mimba wamekamatwa pamoja na wazazi wao, na waliowatia wametoweka na wanasakwa, sijui hili limekaaje, nategemea mipovu ya wana harakati na wana habari na jamii za kimataifa, lakini ukirudi hatua chache nyuma uliangalie vizuri, linaonekana sahihi maana sasa wanaume wa Kitanzania watakaa mbali na watoto wa shule, mtakua mnapita kuleeeeeee.....
Hili likija Kenya tutalipokea vipi...
Japo lina sura mbili, maana sielewi kosa la wazazi hapo, msichana katongozwa huko huko kwenye shamba la mahindi wakati anatokea shuleni, ilhali mimi kama mzazi wake nipo mjini napiga misele ili chakula kipatikane, sasa unikamate na kunishtaki kwa lipi.
---------------------------------------------------------------------
Five pregnant schoolgirls together with their parents were arrested and then released on bail over the weekend in Tandahimba, southern Tanzania.
The arrest came following an order by District Commissioner Sebastian Waryuba in a crackdown to end teenage pregnancies in the region.
According to the District Administrative Secretary Mr Mohamed Azizi, authorities are still looking for the men who impregnated the girls who disappeared shortly after a directive was issued.
“We have managed to arrest the girls and their parents but unfortunately those who impregnated the girls have escaped and we are looking for them,” Mr Azizi told The Citizen.
Adolescent pregnancy in the region have been on the rise recently. In 2015, 20 cases were reported while in 2017, some 27 cases were recorded.
Gender and Human Rights activists have decried the directive arguing that the authorities should arrest the culprits rather than the victims.
In June last year, East Africans and women's rights groups condemned Tanzanian President John Magufuli's comments that schoolgirls who give birth should not be allowed back to school.
Tanzania arrests pregnant schoolgirls
Unataka akusaidie kupunguza njaa Kenya?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]hiii nchi ni kichekesho ajabu,hivi huyu msanii ametimiza nini baada ya miaka miwili 😀
***** nyota tanoWakati huo huo wabakaji na walawiti kina Babu Seya kawaachia huru...
Hii inawezekana Tanzania peke yake...
Toa maoni yako kwa kile kilichoandikwahiii nchi ni kichekesho ajabu,hivi huyu msanii ametimiza nini baada ya miaka miwili 😀
Ila wehu ni wale wanaofurahi watoto kupewa mimba.Machizi ni wale wanaomuunga mkono.
Tusubiri tuone hukumu yaoSwali langu hili pia. Hizo mimba wamejipa wenyewe? Ni kichekesho na upuuzi wa hali ya juu.
Nakuombea Mungu yasikukute ukija kuwa mzazi.maana unachoongea so far ni sio mzaziKukamatwa kwa wazazi ni sahihi. Wao ndio wenye wajibu wa kuwalea watoto wao na kujua nini kinaendelea/kimetokea kwa watoto wao.
Lengo ni pamoja na kupata majibu sahihi ya je kweli mimba ya mtoto imetokana na kubakwa au tabia za mtoto. Kujua nani anahusika na mimba hiyo isije ikawa wazazi walishamuozesha/walishakula mahari ya huyo binti akiwa shule. Je wazazi waliitumia vizuri nafasi yao kama wazazi au walizembea na kupelekea mtoto kujihusisha na mapenzi hadi mimba.
Kumbuka kuna wazazi wengine huchangia watoto kupata mimba wakiwa shuleni na ikibainika hivyo, wanastahili kushtakiwa.
Gigy papa baada ya kuapata habari anaitwa akaanza kebehi,leo analia anafikiri kila mtu ni muuza papa!"There is no freedom, no body is free!"- Gigy Papa.
Wasichana watano waliotiwa mimba wamekamatwa pamoja na wazazi wao, na waliowatia wametoweka na wanasakwa, sijui hili limekaaje, nategemea mipovu ya wana harakati na wana habari na jamii za kimataifa, lakini ukirudi hatua chache nyuma uliangalie vizuri, linaonekana sahihi maana sasa wanaume wa Kitanzania watakaa mbali na watoto wa shule, mtakua mnapita kuleeeeeee.....
Hili likija Kenya tutalipokea vipi...
Japo lina sura mbili, maana sielewi kosa la wazazi hapo, msichana katongozwa huko huko kwenye shamba la mahindi wakati anatokea shuleni, ilhali mimi kama mzazi wake nipo mjini napiga misele ili chakula kipatikane, sasa unikamate na kunishtaki kwa lipi.
---------------------------------------------------------------------
Five pregnant schoolgirls together with their parents were arrested and then released on bail over the weekend in Tandahimba, southern Tanzania.
The arrest came following an order by District Commissioner Sebastian Waryuba in a crackdown to end teenage pregnancies in the region.
According to the District Administrative Secretary Mr Mohamed Azizi, authorities are still looking for the men who impregnated the girls who disappeared shortly after a directive was issued.
“We have managed to arrest the girls and their parents but unfortunately those who impregnated the girls have escaped and we are looking for them,” Mr Azizi told The Citizen.
Adolescent pregnancy in the region have been on the rise recently. In 2015, 20 cases were reported while in 2017, some 27 cases were recorded.
Gender and Human Rights activists have decried the directive arguing that the authorities should arrest the culprits rather than the victims.
In June last year, East Africans and women's rights groups condemned Tanzanian President John Magufuli's comments that schoolgirls who give birth should not be allowed back to school.
Tanzania arrests pregnant schoolgirls
Kukamatwa kwa wazazi ni sahihi. Wao ndio wenye wajibu wa kuwalea watoto wao na kujua nini kinaendelea/kimetokea kwa watoto wao.