Dah Magufuli hatanii, labda yupo sahihi kwa hili la kuwakamata wasichana wenye mimba

Napenda kujua wanashtakiwa kwa kosa lipi
Kushindwa kusimamia malezi sahihi ya mtoto ,watu wengi hamjui sheria ndo maana mnaweza sikia MTU anahukumiwa mkashangaa.
 
Kushindwa kusimamia malezi sahihi ya mtoto ,watu wengi hamjui sheria ndo maana mnaweza sikia MTU anahukumiwa mkashangaa.
Tuelimishwe hiyo sheria kama ipo.
 
Mnadhani kuwa ni sahihi?
Ni matatizo ya akili haya
 
One, Besides rape and pedophilia, how in the name of f*uck do you prevent young hormone charged teenagers from f*cking

Two, they are young kids and young kids sometimes do dumb shit so why punish them by taking away the education that can help them avoid making dumb decisions in the future?

Three, If they can't get education then how the hell are they supposed to provide a decent life for the child? Or are they supposed to become beggars in a Kenya?

And we wonder why the world laughs at Africa.
 
Eti mzazi kabisa anawaambia watoto,mie napika chai tu,kitafunio kila mtu atajua mwenyewe!duh.
 
Nakuombea Mungu yasikukute ukija kuwa mzazi.maana unachoongea so far ni sio mzazi

Nasikitika hujaelewa nilichokiandika. Mimi ni mzazi ninayezijua changamoto za malezi. Kinachozungumziwa hapa ni kwa nini wazazi wakamatwe. Hujui kwa nini mzazi anakamatwa na unaonekana kwa mtazamo wako kukamatwa kwa mzazi ni kumhesabu ana makosa.. la hasha. Utakapoelewa maana halisi ya kumkamata mzazi utaelewa naongea nini.
 
Pumba tu
 
Nasikiliza BBC World Service.

Magufuli is making Tanzania a laughingstock.

Hakuna sheria ya kumkamata mwanafunzi anayepata mimba.

Ni shitty arbitrariness tu.
 
Nasikiliza BBC World Service.

Magufuli is making Tanzania a laughingstock.

Hakuna sheria ya kumkamata mwanafunzi anayepata mimba.

Ni shitty arbitrariness tu.
Heri wewe unayethubutu kusema ukweli, mawazo mengine ni ya kushangaza sana. Najaribu kufikiria ingekuwa ni U.Kenyatta amepeana agizo kama hilo asee. Hata lisaa limoja halingepita kama hajakashifiwa vikali na viongozi, sanasana viongozi walio karibu naye kabisa. Naona tz mnang'ang'ana kuchukua nafasi ilowachwa wazi na Zimbabwe.
 
Hata hangefika popote akijaribu.. Bill of rights iko na children's rights, na inasema every child has a right to basic education... Alafu under children's act inasema hakuna mtu ana haki ya kufanya lolote ambalo litamzulia au mu affect mwanafunzi kusoma, that means if a female pupil becomes pregnant not only is the school not allowed to expel the student, recent court ruling has set a precedent that the school will take steps to ensure the pregnant teen is not subjected to ridicule and teasing from fellow students and even teachers and she is discrimated the school head teacher will be held responsible..

 
Sisi huku Kenya tumejaribu kila aiana ya vituko, tumewapatia condom, juzi tuka introduce sex education ndani ya mashule naskia sasa wanataka kuanzisha project ya wanafunzi wanaeza enda kwa dispensary na kupewa na kufundishwa kutumia family planning bila idhini ya mzazi! WTF!

kule western ambako teen pregnancy iko juu nao wananunulia wanafunzi baiskeli ili wasitongozwe na jamaa wa bodaboda au jamaa wa magari kuwapa lift wakitoka shule

 
Mkuu ukidhanu labda kuwakamata watu ndo kupunguza ongezeko la mimba [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hivi haujiulizi kwa nchi kama america ,china na nyengine zilizoendelea hakuna mimba za utotoni au mashuleni? Ni KWA KUWA SULUHISHO NI MZAZI KUMJENGEA MTOTO WAKE WA KIKE KUJIAMINI NA AMPE ELIMU JUU YA MAUMBILE YAKE PAMOJA NA KUTUMIA CONDOM PIA KUTULIA NA MPENZI MMOJA NA AANGALIE FUTURE YAKE ZAIDI na hii pia ninkwa watt wa kiume KWA KUWA HATA UKIWA MKALI ATALIWA NA MIMBA ATABEBA SO NI BORA KUMFANYA AWE AWARE NA MAMUZI ATAKAYOCHUKUA NA AJICHUNGE SANA
 
Je wazazi walipogundua watoto wao wana mimba walitoa taarifa kwa vyombo husika?kama walificha walipogundua hiyo ni hatia.Kuna wazazi mwanafunzi akiwa na mimba wanaelewana na wazazi wa mwanaume wanapewa pesa au wanawaozesha watoto,wakikamatwa watasema ukweli tu.Huwezi kuwa tunatozwa kodi wasome bure wao wanaenda kugegedwa.Victims plus culprits wakamatwe wote maana ukikamata culprit na hakubaka unakuwa msenge.Ili mimba za wanafunzi zisiwepo lazima wakatae na papuchi zao,wakizitoa bila shuruti wametoa ushirikiano wagawane makosa na wanaume waliowamimbisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…