Bossless
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 1,381
- 2,948
Kushindwa kusimamia malezi sahihi ya mtoto ,watu wengi hamjui sheria ndo maana mnaweza sikia MTU anahukumiwa mkashangaa.Napenda kujua wanashtakiwa kwa kosa lipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushindwa kusimamia malezi sahihi ya mtoto ,watu wengi hamjui sheria ndo maana mnaweza sikia MTU anahukumiwa mkashangaa.Napenda kujua wanashtakiwa kwa kosa lipi
Tuelimishwe hiyo sheria kama ipo.Kushindwa kusimamia malezi sahihi ya mtoto ,watu wengi hamjui sheria ndo maana mnaweza sikia MTU anahukumiwa mkashangaa.
Kwa kosa la kumzaa mtoto wa kikeNapenda kujua wanashtakiwa kwa kosa lipi
Na huyo baba ashtakiwe kwa kumuoa mwanamke.Kwa kosa la kumzaa mtoto wa kike
Eti mzazi kabisa anawaambia watoto,mie napika chai tu,kitafunio kila mtu atajua mwenyewe!duh.Kukamatwa kwa wazazi ni sahihi. Wao ndio wenye wajibu wa kuwalea watoto wao na kujua nini kinaendelea/kimetokea kwa watoto wao.
Lengo ni pamoja na kupata majibu sahihi ya je kweli mimba ya mtoto imetokana na kubakwa au tabia za mtoto. Kujua nani anahusika na mimba hiyo isije ikawa wazazi walishamuozesha/walishakula mahari ya huyo binti akiwa shule. Je wazazi waliitumia vizuri nafasi yao kama wazazi au walizembea na kupelekea mtoto kujihusisha na mapenzi hadi mimba.
Kumbuka kuna wazazi wengine huchangia watoto kupata mimba wakiwa shuleni na ikibainika hivyo, wanastahili kushtakiwa.
Eti mzazi kabisa anawaambia watoto,mie napika chai tu,kitafunio kila mtu atajua mwenyewe!duh.
Nakuombea Mungu yasikukute ukija kuwa mzazi.maana unachoongea so far ni sio mzazi
Wewe una mtoto?
Pumba tuKukamatwa kwa wazazi ni sahihi. Wao ndio wenye wajibu wa kuwalea watoto wao na kujua nini kinaendelea/kimetokea kwa watoto wao.
Lengo ni pamoja na kupata majibu sahihi ya je kweli mimba ya mtoto imetokana na kubakwa au tabia za mtoto. Kujua nani anahusika na mimba hiyo isije ikawa wazazi walishamuozesha/walishakula mahari ya huyo binti akiwa shule. Je wazazi waliitumia vizuri nafasi yao kama wazazi au walizembea na kupelekea mtoto kujihusisha na mapenzi hadi mimba.
Kumbuka kuna wazazi wengine huchangia watoto kupata mimba wakiwa shuleni na ikibainika hivyo, wanastahili kushtakiwa.
Mkuu akiwa amemaliza form six anasubiri kwenda jkt kuna tatizo gn!Thubutu yakukute.... Ukiona hawa hapa chini, pita kuleeeee!!!
![]()
SijakusomaSubiri hadi apokezwe matokeo na cheti kabisa na kuaga shule...hehehe
Heri wewe unayethubutu kusema ukweli, mawazo mengine ni ya kushangaza sana. Najaribu kufikiria ingekuwa ni U.Kenyatta amepeana agizo kama hilo asee. Hata lisaa limoja halingepita kama hajakashifiwa vikali na viongozi, sanasana viongozi walio karibu naye kabisa. Naona tz mnang'ang'ana kuchukua nafasi ilowachwa wazi na Zimbabwe.Nasikiliza BBC World Service.
Magufuli is making Tanzania a laughingstock.
Hakuna sheria ya kumkamata mwanafunzi anayepata mimba.
Ni shitty arbitrariness tu.
Hata hangefika popote akijaribu.. Bill of rights iko na children's rights, na inasema every child has a right to basic education... Alafu under children's act inasema hakuna mtu ana haki ya kufanya lolote ambalo litamzulia au mu affect mwanafunzi kusoma, that means if a female pupil becomes pregnant not only is the school not allowed to expel the student, recent court ruling has set a precedent that the school will take steps to ensure the pregnant teen is not subjected to ridicule and teasing from fellow students and even teachers and she is discrimated the school head teacher will be held responsible..Heri wewe unayethubutu kusema ukweli, mawazo mengine ni ya kushangaza sana. Najaribu kufikiria ingekuwa ni U.Kenyatta amepeana agizo kama hilo asee. Hata lisaa limoja halingepita kama hajakashifiwa vikali na viongozi, sanasana viongozi walio karibu naye kabisa. Naona tz mnang'ang'ana kuchukua nafasi ilowachwa wazi na Zimbabwe.
Mkuu ukidhanu labda kuwakamata watu ndo kupunguza ongezeko la mimba [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hivi haujiulizi kwa nchi kama america ,china na nyengine zilizoendelea hakuna mimba za utotoni au mashuleni? Ni KWA KUWA SULUHISHO NI MZAZI KUMJENGEA MTOTO WAKE WA KIKE KUJIAMINI NA AMPE ELIMU JUU YA MAUMBILE YAKE PAMOJA NA KUTUMIA CONDOM PIA KUTULIA NA MPENZI MMOJA NA AANGALIE FUTURE YAKE ZAIDI na hii pia ninkwa watt wa kiume KWA KUWA HATA UKIWA MKALI ATALIWA NA MIMBA ATABEBA SO NI BORA KUMFANYA AWE AWARE NA MAMUZI ATAKAYOCHUKUA NA AJICHUNGE SANAWasichana watano waliotiwa mimba wamekamatwa pamoja na wazazi wao, na waliowatia wametoweka na wanasakwa, sijui hili limekaaje, nategemea mipovu ya wana harakati na wana habari na jamii za kimataifa, lakini ukirudi hatua chache nyuma uliangalie vizuri, linaonekana sahihi maana sasa wanaume wa Kitanzania watakaa mbali na watoto wa shule, mtakua mnapita kuleeeeeee.....
Hili likija Kenya tutalipokea vipi...
Japo lina sura mbili, maana sielewi kosa la wazazi hapo, msichana katongozwa huko huko kwenye shamba la mahindi wakati anatokea shuleni, ilhali mimi kama mzazi wake nipo mjini napiga misele ili chakula kipatikane, sasa unikamate na kunishtaki kwa lipi.
---------------------------------------------------------------------
Five pregnant schoolgirls together with their parents were arrested and then released on bail over the weekend in Tandahimba, southern Tanzania.
The arrest came following an order by District Commissioner Sebastian Waryuba in a crackdown to end teenage pregnancies in the region.
According to the District Administrative Secretary Mr Mohamed Azizi, authorities are still looking for the men who impregnated the girls who disappeared shortly after a directive was issued.
“We have managed to arrest the girls and their parents but unfortunately those who impregnated the girls have escaped and we are looking for them,” Mr Azizi told The Citizen.
Adolescent pregnancy in the region have been on the rise recently. In 2015, 20 cases were reported while in 2017, some 27 cases were recorded.
Gender and Human Rights activists have decried the directive arguing that the authorities should arrest the culprits rather than the victims.
In June last year, East Africans and women's rights groups condemned Tanzanian President John Magufuli's comments that schoolgirls who give birth should not be allowed back to school.
Tanzania arrests pregnant schoolgirls