MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
-
- #61
Mkuu ukidhanu labda kuwakamata watu ndo kupunguza ongezeko la mimba [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hivi haujiulizi kwa nchi kama america ,china na nyengine zilizoendelea hakuna mimba za utotoni au mashuleni? Ni KWA KUWA SULUHISHO NI MZAZI KUMJENGEA MTOTO WAKE WA KIKE KUJIAMINI NA AMPE ELIMU JUU YA MAUMBILE YAKE PAMOJA NA KUTUMIA CONDOM PIA KUTULIA NA MPENZI MMOJA NA AANGALIE FUTURE YAKE ZAIDI na hii pia ninkwa watt wa kiume KWA KUWA HATA UKIWA MKALI ATALIWA NA MIMBA ATABEBA SO NI BORA KUMFANYA AWE AWARE NA MAMUZI ATAKAYOCHUKUA NA AJICHUNGE SANA
Hii ni Afrika bana, mambo ya Ulaya kule usilinganishe na pumba za huku ambapo mzazi huona mwanaye wa kike kama mali, kuna wale hulipwa kabisa msichana akiwa bado mdogo. Inabidi uongozi kujitoa ufahamu na kufanya mambo ya kichizi ili kieleweke, kiaina najikuta nikiunga mkono hivi vituko vya Magufuli.
Sasa hivi nategemea tukio la kukamatwa kwa hao wazazi na wanafunzi na kusakwa kwa walio watia mimba kumjenga hofu nchi yote, mtoto mwanafunzi wa kike pishana naye kwa mbali, maana ndio gumzo mtaani na kila maeneo.