mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuridhika ndo kila kitu mkuu.Nimeamka sina kifungua kinywa, ilipofika saa 5 hivi nikakoroga uji kwa kutumia maziwa yaliyokuwepo kama nusu lita hivi!! Nilikunywa huo uji mtamu na moyo ukaridhika kuwa hayo ndiyo maisha mazuri. Nikiwa mitaani hakuna anayeweza kuhisi kuwa nimeshindia uji. Kwa kweli kuridhika ni faida kubwa!! Alisikika mtu mmoja akiwaeleza rafiki zake huku akiwa na uso wa furaha utadhani anamiliki mamilioni ya fedha!
Kuridhika ni hoja dhaifu ya kujitetea na kujifariji na Umaskini....Nimeamka sina kifungua kinywa, ilipofika saa 5 hivi nikakoroga uji kwa kutumia maziwa yaliyokuwepo kama nusu lita hivi!! Nilikunywa huo uji mtamu na moyo ukaridhika kuwa hayo ndiyo maisha mazuri. Nikiwa mitaani hakuna anayeweza kuhisi kuwa nimeshindia uji. Kwa kweli kuridhika ni faida kubwa!! Alisikika mtu mmoja akiwaeleza rafiki zake huku akiwa na uso wa furaha utadhani anamiliki mamilioni ya fedha!
Hujaelewa! Kuridhika haina maana kuwa uache kupambana na kusonga mbele katika maisha bali kuridhika kunakufanya usijione mnyonge, usimwone mwingine kuwa ni bora zaidi kwa kuwa ana kitu ambacho wewe huna! Kuridhika kunatunza nafsi ya mtu na kumpa ujasiri!!Kuridhika ni hoja dhaifu ya kujitetea na kujifariji na Umaskini....
Work hard.. tafuta hela...
Dah!! Una akili kubwa sana!! Umenikumbusha mtu mmoja alienda kununua mchele dukani. Akakuta kuna sampuli mbali mbali za mchele. Ule ambao hauna changa ni sh 3,000/= kwa kilo. Chenga za mchele ni sh 800/= kwa kilo. Yeye akanunua chenga!! Halafu akatamba akisema, hamuwezi kunifanya mjinga nikanunua mchele kwa sh 3,000/= eti tu kwa kuwa haujakatikakatika wakati ninajua kuwa wakati naula utakatikakatika tu maana nitautafuna!! Huko mdomoni hakuna tofauti ya wali chenga na wali ulionyoka bila kukatikakatika!! Halafu akasema waibieni wajinga wasiokumbuka kuwa wakati wa kula watatafuna, kwangu hamuwezi kuwahi!!Ni mentality tu, uji au wali ukifika tumboni hauna tofauti🤷🏻♂️
This is it..! kuridhika ni kukiri ya kuwa umeshindwa, hauna mbinu tena za kujikwamua kiuchumi.Kuridhika ni hoja dhaifu ya kujitetea na kujifariji na Umaskini....
Work hard.. tafuta hela...
Hiyo ni tafsiri yako potofu ya kuridhika! Kwa tafsiri hiyo hutakaa uridhike na ufurahie maisha duniani!!! Kuridhika hakumfanyi mtu kutokusonga mbele katika maisha, bali kutamsaidia kusonga mbele bila presha akiwa na utulivu wa hali ya juu na kwa kujiamini bila kujiona kuwa ni mnyonge kuliko wengine!!This is it..! kuridhika ni kukiri ya kuwa umeshindwa, hauna mbinu tena za kujikwamua kiuchumi.
Exactly [emoji817] mkuuThis is it..! kuridhika ni kukiri ya kuwa umeshindwa, hauna mbinu tena za kujikwamua kiuchumi.
Lionel Messi angeridhika na mafanikio aliyoyapata kwenye soka Asinge pambana kufa na kupona kutwaa kombe la dunia..Hiyo ni tafsiri yako potofu ya kuridhika! Kwa tafsiri hiyo hutakaa uridhike na ufurahie maisha duniani!!! Kuridhika hakumfanyi mtu kutokusonga mbele katika maisha, bali kutamsaidia kusonga mbele bila presha akiwa na utulivu wa hali ya juu na kwa kujiamini bila kujiona kuwa ni mnyonge kuliko wengine!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka mkuu ila naongezea tu. Kuridhika kunakufanya uonekane una hela pia uko matawi ya juu Kumbe Kapuku mmojaDah!! Una akili kubwa sana!! Umenikumbusha mtu mmoja alienda kununua mchele dukani. Akakuta kuna sampuli mbali mbali za mchele. Ule ambao hauna changa ni sh 3,000/= kwa kilo. Chenga za mchele ni sh 800/= kwa kilo. Yeye akanunua chenga!! Halafu akatamba akisema, hamuwezi kunifanya mjinga nikanunua mchele kwa sh 3,000/= eti tu kwa kuwa haujakatikakatika wakati ninajua kuwa wakati naula utakatikakatika tu maana nitautafuna!! Huko mdomoni hakuna tofauti ya wali chenga na wali uliokatikakatika!! Halafu akasema waibieni wajinga wasiokumbuka kuwa wakati wa kula watatafuna, kwangu hamuwezi kuwahi!!
Kwa nini hamuelewi!! Kuridhika haina maana usisonge mbele! Kinyume chake kuridhika kunakupa nguvu ya kusonga mbele bila kujiona ni mnyonge!!Lionel Messi angeridhika na mafanikio aliyoyapata kwenye soka Asinge pambana kufa na kupona kutwaa kombe la dunia..
Kuridhika ni hoja dhaifu sana....
True, but the previous comfort zone gives you the strength for the leap forward, it is the base for positive meditation and further planning!!! It is an important step in life, although it is not the final one!!!stay out of your comfort zone
Kwahio wengine wote duniani ambao hawajapata bahati ya Kuwa Messi wasiridhike, wawe na stress, wawe na wivu kwa Messi hadi wanaingia kaburini!Lionel Messi angeridhika na mafanikio aliyoyapata kwenye soka Asinge pambana kufa na kupona kutwaa kombe la dunia..
Kuridhika ni hoja dhaifu sana....