Dah! Masikini Man City

Dah! Masikini Man City

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa.

Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks

Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
 
Niliwaambia watu juzi hapa, kwa hiyo hadi Guardiola anaihujumu Man City?
Vikosi vimechoka, tutaendelea kushuhudia vipigo hadi tuingie dirisha dogo la usajili.
 
Siyo kama unafuatilia mchezo wa soka vizuri. Sporting alivyokutana na City juzi kwenye ligi alikuwa kafunga magoli 35 na kafungwa 4 tu, wakati huo City katoka kupigwa kwenye ligi.

Mechi ya leo Brighton wana msimu mzuri sana, Albion japokuwa mechi iliyopita walifungwa Alfiend ila walikuwa wabishi sana.

Pale Amex Stadium msimu huu ni machinjioni kwa vigogo: United aliacha points, Arsenal akafuata akaacha points. Leo City kuacha points siyo ajabu baada ya kuacha points Portugal akiwa ugenini pia. Kumkosa Rodri kwenye kiungo inaendelea kuwa shida kwao.

Watu wanaofuatilia takwimu wanajua EPL siyo nzuri kwa soko la direct win kwasababu ni unpredictable kila wiki.
Acha kiswa English wewe mmakonde wa kuchanja..eti Amex.

La direct ushuzi....

Kwansabab unpredictable fuc.k u
 
Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa.

Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks

Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
Sawa Fabrizio romano
 
Niliwaambia watu juzi hapa, kwa hiyo hadi Guardiola anaihujumu Man City?
Vikosi vimechoka, tutaendelea kushuhudia vipigo hadi tuingie dirisha dogo la usajili.
Yanga washukuru Mungu kuna international break wenge la kufungwa litatulia otherwise weekend hii wangegongwa tena
 
Back
Top Bottom