Dah! Mpira una mambo ya kikatili sana

Dah! Mpira una mambo ya kikatili sana

Bravo atamchapa Simba vizuri tu pale kwao kisha na yeye ataenda kujiokotea point kwa kibonde wa kundi pale Tunisia na biashara inakuwa imekwisha kwa maana Constantine itayocheza na Simba Ina kaunafuu kaubora tofauti na sfaxien ivyo Simba atoweza kumfunga kiurahisi
Nye watabiri feki mnadhani mpira kwenye uhalisia unachezwa kama PS
 
Haijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.
Bravo anacheza na Simba na Sfaxien mechi ya marudiano na constatine imeshapita
 
Constantine amebakisha mechi ya Cxfaxen kwake na wewe kwa Mkapa.Kwa kifupi Cxfaxen sizani kama atakaza kwani ameshatoka, nguvu,akili zote kwenye ligi. Huku shirikisho atacomply na ratiba za CAF, ila hawezi kukaza na kucheza kama alivyo cheza na nyinyi juzi,atapanga tu wachezaji wanaokaa benchi na vijana, huku wale muhimu akiwaweka kwa ajili ya ligi.

Ukienda Angola nenda na akili ya droo au ushindi ila ukipigwa kwa tofauti ya goli mbili basi utakuwa na hali mbaya,japo Bravo atakuwa ugenini still atakuwa na nafasi kubwa ya kushinda.
 
Kifupi ili Simba apite inatakiwa amfunge Bravo na kufikisha points 12,apambane amfunge Bravo akimfunga kafuzu mazima
 
Hapo ndipo kwenye ugumu. Bravo mzuri sana kwenye kuattack hata kwenye kundi lenu, Bravo ametengeneza nafasi nyingi nyuma ya Constantine ,ila alizo zitumia ni chache, so striking yupo vizuri. Ila defense kidogo hayupo vizuri, ila akifanya home yake vizuri kwenye defense,mtakuwa mna hali ngumu Angola.
 
Mpira hautabiriki,simba ndo timu yenyewe kwenye hili kundi hajaruhusu magoli mengi,angalia mechi na Bravo Dar simba kashinda goli 1-0,hata hivo kama bravo wako vizuri striking na defense ni mbovu inashindikana nini simba kushinda?
 
Umenielewa nilicho sema? nimesema "Kama wakifanya homework yao vizuri kwenye defense yao,basi mtakuwa na hali ngumu........"

Nazani mechi yenu ya hapa,kipindi cha pili mliona jamaa walivyo dominate kwa mkapa....... so wakiya fanyia kazi mapungufu yao ya ulinzi. Hiyo mechi ya Angola itakuwa ngumu sana kwenu.
 
Siku ile walionekana wanadominate kipindi cha pili kwasabau simba alipopata goli alipunguza mashambulizi na kujilinda, wao wanapofanya homework yao simba pia inafanya yake,kwa hizi hatua hakuna anayelala kila mtu anastudy mapungufu yake na ya mwingine
 
Atakefanya kwa usahihi ndiye atakaye fanikiwa.
 
Tunachojua game ijayo hatupaswi kupoteza. Tukifeli kabisa ni droo.
 
Afya ya akili linazidi kuwa tatzo kubwa sana kwa vijana
Subiri Jpili tukamtoe rasmi bravo mashindanoni muanze kututabiria robo tutatolewa na kina Stade Malien
 
Unleash the royal roar in your space with this maj.jpeg
 
Hii ndiyo inaitwa hata ukioga mjini huendi, ndicho kitakachowakuta makolo
 
Haijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.
Nguvu ya kuhamishia kwenye ligi anayo sasa?
 
Back
Top Bottom