Constantine amebakisha mechi ya Cxfaxen kwake na wewe kwa Mkapa.Kwa kifupi Cxfaxen sizani kama atakaza kwani ameshatoka, nguvu,akili zote kwenye ligi. Huku shirikisho atacomply na ratiba za CAF, ila hawezi kukaza na kucheza kama alivyo cheza na nyinyi juzi,atapanga tu wachezaji wanaokaa benchi na vijana, huku wale muhimu akiwaweka kwa ajili ya ligi.
Ukienda Angola nenda na akili ya droo au ushindi ila ukipigwa kwa tofauti ya goli mbili basi utakuwa na hali mbaya,japo Bravo atakuwa ugenini still atakuwa na nafasi kubwa ya kushinda.