Nye watabiri feki mnadhani mpira kwenye uhalisia unachezwa kama PSBravo atamchapa Simba vizuri tu pale kwao kisha na yeye ataenda kujiokotea point kwa kibonde wa kundi pale Tunisia na biashara inakuwa imekwisha kwa maana Constantine itayocheza na Simba Ina kaunafuu kaubora tofauti na sfaxien ivyo Simba atoweza kumfunga kiurahisi
Bravo anacheza na Simba na Sfaxien mechi ya marudiano na constatine imeshapitaHaijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.
Constantine amebakisha mechi ya Cxfaxen kwake na wewe kwa Mkapa.Kwa kifupi Cxfaxen sizani kama atakaza kwani ameshatoka, nguvu,akili zote kwenye ligi. Huku shirikisho atacomply na ratiba za CAF, ila hawezi kukaza na kucheza kama alivyo cheza na nyinyi juzi,atapanga tu wachezaji wanaokaa benchi na vijana, huku wale muhimu akiwaweka kwa ajili ya ligi.Bravo anacheza na Simba na Sfaxien mechi ya marudiano na constatine imeshapita
Kifupi ili Simba apite inatakiwa amfunge Bravo na kufikisha points 12,apambane amfunge Bravo akimfunga kafuzu mazimaConstantine amebakisha mechi ya Cxfaxen kwake na wewe kwa Mkapa.Kwa kifupi Cxfaxen sizani kama atakaza kwani ameshatoka, nguvu,akili zote kwenye ligi. Huku shirikisho atacomply na ratiba za CAF, ila hawezi kukaza na kucheza kama alivyo cheza na nyinyi juzi,atapanga tu wachezaji wanaokaa benchi na vijana, huku wale muhimu akiwaweka kwa ajili ya ligi.
Ukienda Angola nenda na akili ya droo au ushindi ila ukipigwa kwa tofauti ya goli mbili basi utakuwa na hali mbaya,japo Bravo atakuwa ugenini still atakuwa na nafasi kubwa ya kushinda.
Muda utafika, kila kitu kitakuwa wazi. Sasa hivi acha tutumie hisia kuamua mechi.Najua mtaumia na wengine mtanitukana, lakini ndugu zangu ukweli lazima usemwe.
BRAVO NA CONSTANTINE WANAKWENDA ROBO FAINALI.
Hapo ndipo kwenye ugumu. Bravo mzuri sana kwenye kuattack hata kwenye kundi lenu, Bravo ametengeneza nafasi nyingi nyuma ya Constantine ,ila alizo zitumia ni chache, so striking yupo vizuri. Ila defense kidogo hayupo vizuri, ila akifanya home yake vizuri kwenye defense,mtakuwa mna hali ngumu Angola.Kifupi ili Simba apite inatakiwa amfunge Bravo na kufikisha points 12,apambane amfunge Bravo akimfunga kafuzu mazima
Mpira hautabiriki,simba ndo timu yenyewe kwenye hili kundi hajaruhusu magoli mengi,angalia mechi na Bravo Dar simba kashinda goli 1-0,hata hivo kama bravo wako vizuri striking na defense ni mbovu inashindikana nini simba kushinda?Hapo ndipo kwenye ugumu. Bravo mzuri sana kwenye kuattack hata kwenye kundi lenu, Bravo ametengeneza nafasi nyingi nyuma ya Constantine ,ila alizo zitumia ni chache, so striking yupo vizuri. Ila defense kidogo hayupo vizuri, ila akifanya home yake vizuri kwenye defense,mtakuwa mna hali ngumu Angola.
Umenielewa nilicho sema? nimesema "Kama wakifanya homework yao vizuri kwenye defense yao,basi mtakuwa na hali ngumu........"Mpira hautabiriki,simba ndo timu yenyewe kwenye hili kundi hajaruhusu magoli mengi,angalia mechi na Bravo Dar simba kashinda goli 1-0,hata hivo kama bravo wako vizuri striking na defense ni mbovu inashindikana nini simba kushinda?
Siku ile walionekana wanadominate kipindi cha pili kwasabau simba alipopata goli alipunguza mashambulizi na kujilinda, wao wanapofanya homework yao simba pia inafanya yake,kwa hizi hatua hakuna anayelala kila mtu anastudy mapungufu yake na ya mwingineUmenielewa nilicho sema? nimesema "Kama wakifanya homework yao vizuri kwenye defense yao,basi mtakuwa na hali ngumu........"
Nazani mechi yenu ya hapa,kipindi cha pili mliona jamaa walivyo dominate kwa mkapa....... so wakiya fanyia kazi mapungufu yao ya ulinzi. Hiyo mechi ya Angola itakuwa ngumu sana kwenu.
Atakefanya kwa usahihi ndiye atakaye fanikiwa.Siku ile walionekana wanadominate kipindi cha pili kwasabau simba alipopata goli alipunguza mashambulizi na kujilinda, wao wanapofanya homework yao simba pia inafanya yake,kwa hizi hatua hakuna anayelala kila mtu anastudy mapungufu yake na ya mwingine
Tuki, Waki, Tuta, WataHesabu za timu yangu ziko very clear Al hilal anapigwa kwao na Mc alger anakutana nacho kwa mkapa tunafunga hesabu,,
Nguvu ya kuhamishia kwenye ligi anayo sasa?Haijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.
Kwani ligi kwao umeisha?Nguvu ya kuhamishia kwenye ligi anayo sasa?
Vichwa panzi wote wamepata zero shuleni kwenye somo la math.Mpka mjinyeer kwa mahesabu...
Pombe ni nzuri ila jombaa kaitumia vibaya!Daah! Pombe ina ukatili sana kwa vichwa vibovu!
Pole sana kwa ukatili uliofanyiwa.