Dah! Mpira una mambo ya kikatili sana

Dah! Mpira una mambo ya kikatili sana

Simba hawezi kuzuia sare kwa bravos,kimsingi bravos atafuzu
 
Simba wanaenda kupaki bus kupata sare na kujihakikishia kufuzu
 
Kifupi ili Simba apite inatakiwa amfunge Bravo na kufikisha points 12,apambane amfunge Bravo akimfunga kafuzu mazima
Sare tuu tayari Mnyama anakua ameshajihakikishia kufuzu, kwa mkapa tunakuja kukamilisha ratiba
 
Mtamjua Kagoma vzr jpili bado hamjamjua vzr...
Wataarifuni Bravozi wenu...
 
Sare tuu tayari Mnyama anakua ameshajihakikishia kufuzu, kwa mkapa tunakuja kukamilisha ratiba
Kwa sare Simba anakuwa na point 10, bravo atakuwa na point 7, mechi ya mwisho Brave akimfunga Cfaxien anafikisha point 10 na yeye,hapo kuna usalama?
 
Kwa sare Simba anakuwa na point 10, bravo atakuwa na point 7, mechi ya mwisho Brave akimfunga Cfaxien anafikisha point 10 na yeye,hapo kuna usalama?
Usalama 100% hata Bravo ashinde 90-0 mechi ya mwisho.

Tukitoa sare kwa Bravo means head to head inatubeba, hivo Bravo hawezi tena kuwa juu yetu. Sare inatufanya tuwe wakwanza au wPili na sio chini ya hapo
 
Back
Top Bottom