kinyaukitoto
Senior Member
- Oct 13, 2019
- 103
- 192
- Thread starter
- #21
Ndugu hata hiyo natamani,sana maana wa darasa langu wengi wametoka kutokana na ubora wa course ,pole sana kwa changamoto unazopitia
Nahisi ungefikiria pia Kuomba msaada wa kumalizia hiyo degree, kabla muda hauja enda sana
Lakini unawazaje Kusoma Wakati hata kula na kodi ni mtihani,ni rahisi ukishikwa mkono kujiendeleza hata Open university maana na wenyewe wanahiyo course ya clinical nutrition,
Lakini ata least ukipewa ndoano ni rahisi kuvua kuliko kupewa samaki,wakiisha utakosa chakula