Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Mkuu nina kipawa cha kumshawish mtu akupe kaz yoyote popote, iwe kampun, taasisi,ofs za kiselikar, nk so unaweza nitumia nimeshawahi waombea kaz vijana kadhaa taasisi kadhaa zikiwemo tra,6 kwenye mabenk wa 4, udereva 24, tra wa 5, nk, ila mwenyewe nikijiombea kaz siwez dumu, nimepiga sana miez miwili, ili nikutimizie lengo lako unapaswa unifanyie research ya muhusika kwenye taasis husika, mi nitatumia mbinu zangu na utapata kaz bila vyet wala malipo? Kama huamin hilo tulia hvyhvy mana usije wana wakasema, utapigwa,
 
Apo ndo kanichanganya,inaonekana msera hajielewi elewi akae kwenye kivuli upepo umpige kidogo mana maisha yanatuchezesha gwaride za ukomandooo
Mkuu, rekebisha.

Wewe huna Bachelor Degree kwa sababu hujamaliza. Bila shaka utakuwa na elimu ya kidato cha 6.
 
Back
Top Bottom