Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Kuna kazi sehemu; mtu wa kutafuta masoko ya mavazi anahitajika
Mshahara= 50,000 + 5% ya mauzo aliyoleta kwa mwezi
 
Naamini utafanikiwa ndugu yangu, japo kuna kaugumu kidogo lakini utafanikiwa, binafsi ni vile kazi zetu si rafiki sana sana kumshika mtu mkono lakini i'm swear kama mazingira ya kibarua changu yangekuwa rafiki ungeona private message yangu.

Lakini nakutakia kufanikiwa .
 
Huwa naku kubali Kaka, kula 5 💪
 
Kama ataleta mauzo ya milioni 20 kwa mwezi, atapata mshahara wa Tsh. 1,050,000/=.
Acha ujinga mkuu, serious hata wewe hayo mauzo ya milioni 20 unaweza toa wapi ???
👉 Don't just speak kisa uonekane una type type tu.
👉Nina ki start up, nime ki fund kwa jasho na damu- unadhani kushawishi watu mchezo ehh🙄🤒
 
Back
Top Bottom