Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Ndugu mm nimepita katika mfumo rasmi wa Kusoma from o levels,advance ,na chuo kikuu lakini nilishindw kumalizia chuo kutokana na changamoto za ada ata hvyo nipo on time frame,
Lakini mm naamini sana katika kujifunza,na kupambana ,
Ndugu nina skills za utundu katika computer na maswala ya umeme,

Maana huku mtaani unajichanganya popote
Weka vyeti pembeni nenda na fani za ufundi, katika hiki kipindi ambacho unajaribu ku survive..
 
Angekuwa genta hata abadil i d yule bwana anajulikana kwa kujimwambafai na kufokafoka ila nyie wengine dah tunashindwa kuwaotea wewe nan
Pole sana,but siyo muhimu KWA sasa kuotea ilร  ni muhimu kunishika mkono ndogo wenu
 
Unawajua watu wa JF wewe? Hehee
Umeharibu kimtindo kukiri wazi una ID uliyoshindwa kuja nayo.
Nimefanya hvyo maana ,nilijua tu hata wale watu waliokaribu na mm KWA namna Moja au nyingine wasifungwe kunisaidia,nilitaka watu wote wawe huru Kwangu,Id yangu inamiaka Mingi wastani hvyo nimeshiriki kwenye mijadala mingi ambayo si busara kuweka utambulisho wazi kwa alimia mia
-Pia hata kesho niwe huru kushiriki kwenye mijadala mbalimbali pasina uoga
 
Mkuu nina kipawa cha kumshawish mtu akupe kaz yoyote popote, iwe kampun, taasisi,ofs za kiselikar, nk so unaweza nitumia nimeshawahi waombea kaz vijana kadhaa taasisi kadhaa zikiwemo tra,6 kwenye mabenk wa 4, udereva 24, tra wa 5, nk, ila mwenyewe nikijiombea kaz siwez dumu, nimepiga sana miez miwili, ili nikutimizie lengo lako unapaswa unifanyie research ya muhusika kwenye taasis husika, mi nitatumia mbinu zangu na utapata kaz bila vyet wala malipo? Kama huamin hilo tulia hvyhvy mana usije wana wakasema, utapigwa,
Naamini mkuu
 
Pole , Ila kaa mbali na wanawake Kwa kipindi cha miaka mitatu hadi utoboe 30 yrs hii itakuondolea mikosi na nuksi katika MAISHA yako.
Sawa napokea ushauri, nitafanyia kazi.
Hata hvyo sipogi sana interest na wanawake,pombe wala kilevi chochote situmii
Ingawa mahusiano tu ya kawaida.
 
Back
Top Bottom