Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Bro humu kuna watu siyo tu wametoboa,lakini pia hawako katika maisha ya kuwaza jambo la uchumi la Hapa duniani, labda baada ya kifo,
Kuna watu wanavitega uchumi vya kutosha,ilà pia kuna watu hali kama yangu mkuu
ukisema hivyo hata mm nina rasilimali zenye pesa mingi tu na connection za watu wakubwa za ndani ndani nyng tu alafu nikikutajia mi flani unaweza usiniamin, mkuu ninachokiongelea hapa sicho unachokifikilia wewe,, ninaposema watu wa humu wote ni majobless, siongelei, kiuchumi, au hawana kazi, mkuu dunia hy hakuna binadamu asiekuwa na kazi, iwe mtoto au mkubwa,,wote wana kazi zao, ndio mana natanguliza kusema kuna sehemu hujanielewa umetumia hisia kunielewa na sio fikra, kujiuliza why mwamba kasema majobless ikiwa mwamba anajua humu kuna kina pascal ni waandishi wa habar, kuna kina mshana, wana mishe zao, kuna hadi kina makonda, gwajima,nk, ila nasemaje humu wote ni majobless na huwez kupata mishe toka kwa members wa we ngj utanielewa
 
Pole sana,but siyo muhimu KWA sasa kuotea ilà ni muhimu kunishika mkono ndogo wenu
hakuna mkono humu, utapata maelezo,, yenye kuchamvusha akili yako kipi ufanyie kazi, na sio kazi in direct, ndio kama hapo juu wadau wanakupa michongo, ni rahis kutangaza kaz fb na ukapata kuliko jf, unajua kwanini? Humu wengi tupo kifek kama ww unavyokili kubadil i d, mtu fake hawez kupa practical job coz kwanza mpaka kuweka ufek kweny i d yake hataki ajulikane so ili akupe inabid mjuane kitu ambacho utakuwa umekiuka miko, na ukumbuke huu ni mtandao ni mpana, kumbuka mello aliwahi kubanwa ili tu ataje member alietoa mada ambayo iligusa nyeti za selikari najua unakumbuka ile kesi iliishia vp kama ulifuatilia, so hakuna mtu mwenye akili timamu wa humu ambae atakupa mishe in direct, weng kama ww ulivyohofia kuweka i d yako na wao wana hofia usije ukawa, tiss, coz selikar inambinu nyng ndio maana ya msemo wang WOTE HUMU NI MAJOBLESS hakuna mtu atakupa kaz humu
 
Nimesikia kule kawe kwenye ule mradi wa magorofa makubwa karibu na kawe beach kesho wataanza kuchukua vibarua.nenda kajaribu.wanaanza kujenga up ya baada ya magufuli kuufungia.
N.B NIMESIKIA watachukua wafanyakazi sina uhakika.
 
Naunga mkono hoja au pengine I’d yake nyingine ni ya kujisifu,anaogopa wala watamshambulia.
Haimaanishi ya kujisifu, kuandika shida kupitia ID kuu inakufanya usiwe huru tena na ID, ukirumbana hoja watu wanaleta screenshot za kulia shida, pia kama hapo kaweka namba ya simu so hawezi kuwa Anonymous tena....So sio kwamba anajitamba kwa hio ID.
 
Back
Top Bottom