Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Ww huyu siku nikilewa anaweza kunibaka shem 🤣🤣🤣
Ww mtafutie kazi yoyote hapo ofisini kwako
Vijana michongo yangu hawaiwez.. kuna kadhaa walinitafuta na wametokomea mitini. Waache kwanza waendelee kusubiri kazi nzuri hapa jf
 
Ndugu zangu, kaka zangu na dada zangu

Kutokana na kuwa maarufu kiasi Hapa JF, imenibidi nije na Id ya akiba,

Nahisi kabisa dunia imenielemea napambana na changamoto nyingi kwenye suala la kujitafutia riziki (kiuchumi)

Nahisi napambana hadi mwisho wa uwezo, lakini bado ngoma ngumu
Umri wangu ni chini ya miaka 27, elimu yangu ni bachelor degree katika masuala ya lishe, ila kutokana na ugumu wa Maisha na kujisomesha mwenyewe nikabidi niahirishe masomo mwaka juzi nikiwa nimebakisha mwaka na kidogo nihitimu, hii ni kutokana na kukosa ada nikaingia kupambana mtaani.

Nina uzoefu sana katika masuala ya ufundishaji hii ni kutokana na kufundisha baadhi ya shule kama part time teacher wa masomo ya sayansi kama (physics, chemistry, na biology,)

Pia ni mzuri kwenye uandaaji wa practicals na ufanyishaji usimamiz wake

Pia ni mzuri kwenye leadership skills na person management, pia bussiness management nahisi hii ni kipaji kutokana na kuwa kaka mkuu na kiongozi katika levels zote za kielimu nilizowahi kupita

Nina uzoefu kwenye maswala ya computer, excel na microsoft

Pia kwenye kazi za mikono ndipo sasa ninapo pambana, ni mpambanaji wa popote kambi.

Ndugu zangu huku mtaani usipopata wa kukushika mkono Maisha yako yanakuwa magumu sana, unaweza hisi umelogwa, au kama una laana au unaweza kukata hata tamaa ya Maisha.

Maana napitia kwenye kipindi kula ni kuotea, kodi na hata kuvaa shida.

Yani jua linapochomoza tunashukuru Mungu, lakini linapozama pasipo kuingiza chochote unahisi mwili na akili vinashinda unajikuta unakata tamaa kabisa.

Siyo hupambani lakini unajikuta unakosa kabisa yani.

Dada zangu, kaka zangu, mama na baba zangu, mimi ndugu yenu nipo hapa naamini huku kuna watu tofauti tofauti wanaoshughurika na ishu tofauti

Mimi naomba kushikwa mkono, maana ni kweli napambana lakini najikuta sielewi, hata siku hizi kazi tu ya duka hadi uwe na connections binafsi sina connections ya aina yoyote ile, na hata ninaona wanajiweza wengi wamenitolea nje.

Kama moyo wako unakupa kupenda nishike mkono mdogo wako, au mimi mwanao, nipo tayari kufanya kazi yoyote halali kwa nguvu zangu zote na kwa akili zangu zote, na nia yangu yote, pia nipo tayari kuwa mwaminifu .

Kwasasa nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ile ila halali ilimradi mkono
Mkono uwende kinywani .

Mungu akubariliki wewe utakayewiwa, pia usinikejeli huwezi jua napitia changamoto gani.

Mengine nimeona si busara kuweka public.

Nawasiliana yangu ni 0656831684
MUNGU AFANYE WEPESI
 
Shem kwani uliwapa mchongo gani hadi wakakimbia 😂😂😂
Shem Kuna kazi nimewambia waanzr nazo Zanzibar za ulinzi. Wajichangr kila mtu apate walau laki 4 ili wakapige training ya mambo ya hotrli miezi 3 ada laki 3 baada ya hapo wanapata michongo mahotelini mana mm nilianza hivyo.

Kuna magiteli watu wa restaurant wanalipwa Hadi laki 5 hasa barman. Wao wanaona kuja kuanza na ulinzi ni kama kupotrxa mda, mm nilifabya hiyo na digrii yangu.. kazi iliyojaa darasa la saba
 
Id mkuu badili

Laki saba hiyo mkuu,
Usimlaumu direct,pata 1mn ya kufikir
 
Kwa undishi tu nimeshaijua id yako mkuu , Mungu akusimamie kwenye hilo upate hitaji la moyo wako.na kingine usifichue id yako mkuu naona watu wanakulia rada tu waanze kutoa ya moyoni.
Hahahaha ni ngumu sana ,maana ipo katikati ya maoni humuhumu ,
 
Kwa reaction niliyopata humid,nakushauri hata wewe ukiwa na shida ya serious . Tumia njia yangu Maana utaikimbia Id yako,utawakimbia hata wale unaowahisi marafiki zako,ila pia utagundua tabia nyingi zilizojificha lakini utagundua uwezo wako wa kuhimili changamoto
 
Shem Kuna kazi nimewambia waanzr nazo Zanzibar za ulinzi. Wajichangr kila mtu apate walau laki 4 ili wakapige training ya mambo ya hotrli miezi 3 ada laki 3 baada ya hapo wanapata michongo mahotelini mana mm nilianza hivyo.

Kuna magiteli watu wa restaurant wanalipwa Hadi laki 5 hasa barman. Wao wanaona kuja kuanza na ulinzi ni kama kupotrxa mda, mm nilifabya hiyo na digrii yangu.. kazi iliyojaa darasa la saba
😂😂😂 Waliona jau katoka kupiga degree UD halafu unamwambia aende kozi ya hotel management aje kuwa barman!! 🤣🤣🤣
Shem nawe ulizingua hapo.!

Hiyo ya ulinzi atleast, sema wanasema uko zenji wazungu wanawageuza sana kaka zetu wenye tamaa!!
 
Zanzibar Kaz za kimaskini kuliko nyingine ni ulinzi ikifuatiwa na mfanya usafi. Barman wanapokea mpaka 500k, machef na maweita Wana hela mkuu.

Ulinzi saa za kazi ni 12 kwa siku
 
Back
Top Bottom