Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Wakuu mm ndugu yenu kinyaukitoto kama ilivyo sifa ya huyo kiumbe kwa unyenyekevu mkubwa ,bado sijapata ingawa wengi wameonesha kunitia moyo, na kunishauri bado nawaitaji sana .
Nishikeni mkono mdogo wenu na kijana wenu,
Kama nilivyowaaidi sitowaangusha,
Na atakuja mtu kwwnye thread hii kutoka mrejesho baada ya kuniona na kufanya kaz na mm
 
hakuna mkono humu, utapata maelezo,, yenye kuchamvusha akili yako kipi ufanyie kazi, na sio kazi in direct, ndio kama hapo juu wadau wanakupa michongo, ni rahis kutangaza kaz fb na ukapata kuliko jf, unajua kwanini? Humu wengi tupo kifek kama ww unavyokili kubadil i d, mtu fake hawez kupa practical job coz kwanza mpaka kuweka ufek kweny i d yake hataki ajulikane so ili akupe inabid mjuane kitu ambacho utakuwa umekiuka miko, na ukumbuke huu ni mtandao ni mpana, kumbuka mello aliwahi kubanwa ili tu ataje member alietoa mada ambayo iligusa nyeti za selikari najua unakumbuka ile kesi iliishia vp kama ulifuatilia, so hakuna mtu mwenye akili timamu wa humu ambae atakupa mishe in direct, weng kama ww ulivyohofia kuweka i d yako na wao wana hofia usije ukawa, tiss, coz selikar inambinu nyng ndio maana ya msemo wang WOTE HUMU NI MAJOBLESS hakuna mtu atakupa kaz humu
Hii akili kubwa sana, nawazaga sana kitu kama hichi.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wala usije na id yako unayojulikana, hawana lolote wanataka kukukejeli.
Wao wenyewe wanaotaka wakupe kazi nao wanaunga unga 😂😂😂😂
Kwanza hiyo id inayojulikana kwani ndo utambulisho wako halisi?! Achana nao wachoraji mwaya 🤣🤣🤣
 
Daaa....... Sasa Lamomy nikiachana nao, nitasaidikaje si Unajua lazima ujishushe kwanza,
Au ww utanishika mkono mdogo wako ,
Id ikijulikana thread itaanza upya😀😀,
 
Daaa....... Sasa Lamomy nikiachana nao, nitasaidikaje si Unajua lazima ujishushe kwanza,
Au ww utanishika mkono mdogo wako ,
Id ikijulikana thread itaanza upya😀😀,
Mwenye nia ya kukusaidia wala asingesumbuka kuhitaji id yako nyingine kwani ni real?! Nayo si fake km hii?!!
Wanataka kujua ili wakutanie trust me.!
Ww kumbe bado hujawajua binadamu vizuri… jichanganye 😂😂😂
 
Dah haya bwana😔
 
Mm pia Nina shida hii hii, naombeni mnifanyie mpango wa hela ya konyagi tu wakuu sitaki ajira

Cc. Midabwada
 
Mwenye nia ya kukusaidia wala asingesumbuka kuhitaji id yako nyingine kwani ni real?! Nayo si fake km hii?!!
Wanataka kujua ili wakutanie trust me.!
Ww kumbe bado hujawajua binadamu vizuri… jichanganye 😂😂😂
Lamomy shamba boi huyu... Mana kijana aliwa Hana mipango anawez fanya lolote . Mmoja kajirusha baharini jana
 
Uko wapi? Kuna mwanangu yuko kwenye mashirika ya Tumbaku huko Kahama ndio msimu wake huu.Ila mshahara ukimfunga nao sisimizi Shekilango unamkuta kafika nao Sinza Madukani.
 
Uko wapi? Kuna mwanangu yuko kwenye mashirika ya Tumbaku huko Kahama ndio msimu wake huu.Ila mshahara ukimfunga nao sisimizi Shekilango unamkuta kafika nao Sinza Madukani.
Dsm mkuu
 
Back
Top Bottom