Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 389
- 911
***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi!
***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu mmezidiwa goli moja na hata kumiliki mpira mgeuke ghafla nakucheza boli la hatari!?
***** Ivory coast ule ni uchawi wametumia, sijawahi ona boli kali kama hilo walolipeleka yaani Mali tulikalishwa kuanzia tulipoifunga Ivory Coast na waliposawisha karibia dk ya 90 na halafu kutudunga mimba dakika ya mwishoni kabisa 119!? alooo hapo nikazidi kuamini kuwa hata Kanjibai nae mchawi....
Matumaini yote yangu kupata Milioni Tatu yakachanika pachuuuu yaani mechii hii tu leo imenichania mkeka!!😂😂
Ila no sweat kiukweli pesa nimekosa ila nimeenjoy boli yaani leo ndio mpira umepigwa ***** salute kwa Ivory Coast