Nikupongeze Kwa kuelewa mapema na kupokea ushauri wa mdau.we jamaa umetisha kwa hii analysis ...ni kweli kabisa ....sakayoko alikuwa ni mwiba kwa ivory coast hata mimi sikuelewa kwa nini atolewe
Hahaaaa kizimkazi Stars alipotoa sare na Zambia kama mimi ningekuwa Rais wa nchi hii, ningewaweka ndani hata wiki mara baada ya AFCON kuisha. Hata hao Mali, wanaenda kuwekwa ndani hususani yule kocha wao atachapwa na viboko kabisa.Mali wanautoto ndio timu iliotoka kitoto ukiitoa hii ya kizimkazi
Watanzania wengi ni wapumbavu sana! Hawaamini katika maarifa wao kila kitu ni uchawi tu!Kama kawaida. Kitu kidogo tu tunakimbilia kusema uchawi.
Hata Taifa stars walifanya hivyo walioo cheza na Zambia(chipolopolo,)Kosa kubwa ambalo Mali walilifanya ni kuanza kulinda goli badala ya kuendelea kushambulia, lawama zote anabeba kocha, unatoa mshambuliaji ambaye alikuwa anasumbua hadi kusababisha kadi nyekundu ili ukalinde goli moja!
Alikuwa na hofu gani ilihali mpinzani wake alikuwa pungufu uwanjani, hivi sijui kwa nini hawa Makocha huwa wanaamini sana mbinu ya kujilinda baada ya kushinda, "Lawama abebe Kocha".
Hili ni tatizo, sijui kwa nini Makocha huwa hawalioni hilo.Hata Taifa stars walifanya hivyo walioo cheza na Zambia(chipolopolo,)
Haaaππ...Hahaaaa kizimkazi Stars alipotoa sare na Zambia kama mimi ningekuwa Rais wa nchi hii, ningewaweka ndani hata wiki mara baada ya AFCON kuisha. Hata hao Mali, wanaenda kuwekwa ndani hususani yule kocha wao atachapwa na viboko kabisa.
Kizimkazi... π π πMali wanautoto ndio timu iliotoka kitoto ukiitoa hii ya kizimkazi