Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu,hawajanisaidia hata kidog asee...ata ka sijui,ila si kwa kitendo hik wamenfany vbya kwakweli.pengine voda wamekusaidia ila kwa kua wewe hujui unawalaumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,hawajanisaidia hata kidog asee...ata ka sijui,ila si kwa kitendo hik wamenfany vbya kwakweli.pengine voda wamekusaidia ila kwa kua wewe hujui unawalaumu
Mkuu inawezekana kutegemea na sumu ulizokua nazo,pamoja na uwepesi woote unaouona miaka hii lakini bado kuna mabinti wasumbufu pia.Demu wa siku hizi kuna wa kuwinda miezi 6? AIBU MLETA MADA
Dah jamaa kam wachawiii iv,wanaroga aseeeeeee.Co VODA Hata tgo wanaiyo tabia ya kufukuza ndege ambae amenasa kwenye ulimbo
kweli iyo nzur mkuu,sema tatzo saiv maish tyt watu tnaunga bundle ya 1000 texts bila kikomo,kwa mwezi...asa sijui ndo mana wanatfanyia ivooo sie.hahahaMi niliishtukia hiyo jana nikaamua nimtaarifu kabisa kwamba mtandao unazingua kwa hiyo ni mwendo wa call tu
kweli,iyo ipo..ila kubwa nadhani kw miaka ya saiv n ishu ya muda tu na mazngira ya kumtokea mtoto bhas......Mkuu inawezekana kutegemea na sumu ulizokua nazo,pamoja na uwepesi woote unaouona miaka hii lakini bado kuna mabinti wasumbufu pia.
amna mkuu,kuna sababu kubwa moja tuu...nikwamba hyo miez 6 iko vp mi sikuwapo sehemu alipo huyo mtot..so baada ya siku izo ndo now mekuja kutake over wala hat sijachkua muda kumpat..tatzo mazngira.Demu wa siku hizi kuna wa kuwinda miezi 6? AIBU MLETA MADA
Umesema zaidi ya sms 5 sio hebu tuone;-leo ndo mmeamua kunipeperushia ndege wangu ambae nimemuwinda kwa siku ming sana,ka miez 6 ivi..nimekuja memuweka kwa mstari na kanielewa yani memkamata,ila kwa sababu ya mtandao wenu kuwa mbovu,
nasikitika sana jioni hii majira ya saa 2 hiv ndege wangu,kakimbia kutoka mikononi mwangu kwa sabu ya upuuzi wenu coz mtoto kanitumia texts zaid ya 5 kakuta kimya sijibu text zimetumwa toka saa 11 jioni nimekuja kuzipata usiku saa 2.00 na text ya mwisho inasema "umeamua unikalie,kmya..sasa usinitafute tena" asee,mpaka saiv mtot kagoma kunielewa kuwa sio kosa langu ni lenu,na ndo nimekosa mazima vitu ama rasilimali yangu changa kabisa nimeipoteza.
[HASHTAG]#shameonyouvodacom[/HASHTAG]
hahahaha........sawa mkuu,nishaongea na boss TL kesi itaunguruma soon tuu.umenichkesha sanaaaaaaaUmesema zaidi ya sms 5 sio hebu tuone;-
1. Mambo
2. Leo nataka kuja kwako lakini sina nauli utanilipia?
3. Mbona kimya?
4. Nijibu basi.
5. Hlw
6. Umeamua unikalie,kimya sasa usinitafute tena.
Pole bana tafuta wakili mzuri akakusaidie unaeza pata faida nzuri kwenye hiyo kesi.😀😀😀😀😀
Sawa mkuu sasa ukipata upenyo kakamue mpaka kasahau njia ya kurudi kwao ukijumlisha na hasira za voda.amna mkuu,kuna sababu kubwa moja tuu...nikwamba hyo miez 6 iko vp mi sikuwapo sehemu alipo huyo mtot..so baada ya siku izo ndo now mekuja kutake over wala hat sijachkua muda kumpat..tatzo mazngira.
hahaha.......saw mkuu,Sawa mkuu sasa ukipata upenyo kakamue mpaka kasahau njia ya kurudi kwao ukijumlisha na hasira za voda.
Bora yako sms za kawaida tu lakini mwenzio Tigo washawahi nifedhehesha, nilipanga kukutana sehemu na mtoto kumla sasa nikawa sina hela cash ila hela ipo kwenye simu.hahahaha........sawa mkuu,nishaongea na boss TL kesi itaunguruma soon tuu.umenichkesha sanaaaaaaa
poleeeeeeeee mkuu.Bora yako sms za kawaida tu lakini mwenzio Tigo washawahi nifedhehesha, nilipanga kukutana sehemu na mtoto kumla sasa nikawa sina hela cash ila hela ipo kwenye simu.
Kila nikipiga menu yao inaload then inakata, aseh nilijaribu siku hiyo kama chizi mwisho wa siku akalipia yeye!.
Kufika room kwangu badae ikaingia sms "MPENDWA MTEJA TUNAOMBA RADHI KWA MATATIZO YA KIUFUNDI SASA UTAWEZA FANYA MIAMALA KAMA KAWAIDA"..
Nikiifikiria ile aibu ya kibanda cha Tigopesa siweki hela kwenye simu kwakweli..