Dah Vodacom wamenipotezea ndege wangu..wallah mmenipa stress

Co VODA Hata tgo wanaiyo tabia ya kufukuza ndege ambae amenasa kwenye ulimbo
 
Demu wa siku hizi kuna wa kuwinda miezi 6? AIBU MLETA MADA
 
Mi niliishtukia hiyo jana nikaamua nimtaarifu kabisa kwamba mtandao unazingua kwa hiyo ni mwendo wa call tu
 
kweli iyo nzur mkuu,sema tatzo saiv maish tyt watu tnaunga bundle ya 1000 texts bila kikomo,kwa mwezi...asa sijui ndo mana wanatfanyia ivooo sie.hahaha
 
Mkuu inawezekana kutegemea na sumu ulizokua nazo,pamoja na uwepesi woote unaouona miaka hii lakini bado kuna mabinti wasumbufu pia.
kweli,iyo ipo..ila kubwa nadhani kw miaka ya saiv n ishu ya muda tu na mazngira ya kumtokea mtoto bhas......
 
Demu wa siku hizi kuna wa kuwinda miezi 6? AIBU MLETA MADA
amna mkuu,kuna sababu kubwa moja tuu...nikwamba hyo miez 6 iko vp mi sikuwapo sehemu alipo huyo mtot..so baada ya siku izo ndo now mekuja kutake over wala hat sijachkua muda kumpat..tatzo mazngira.
 
leo ndo mmeamua kunipeperushia ndege wangu ambae nimemuwinda kwa siku ming sana,ka miez 6 ivi..nimekuja memuweka kwa mstari na kanielewa yani memkamata,ila kwa sababu ya mtandao wenu kuwa mbovu,
nasikitika sana jioni hii majira ya saa 2 hiv ndege wangu,kakimbia kutoka mikononi mwangu kwa sabu ya upuuzi wenu coz mtoto kanitumia texts zaid ya 5 kakuta kimya sijibu text zimetumwa toka saa 11 jioni nimekuja kuzipata usiku saa 2.00 na text ya mwisho inasema "umeamua unikalie,kmya..sasa usinitafute tena" asee,mpaka saiv mtot kagoma kunielewa kuwa sio kosa langu ni lenu,na ndo nimekosa mazima vitu ama rasilimali yangu changa kabisa nimeipoteza.
[HASHTAG]#shameonyouvodacom[/HASHTAG]
Umesema zaidi ya sms 5 sio hebu tuone;-
1. Mambo
2. Leo nataka kuja kwako lakini sina nauli utanilipia?
3. Mbona kimya?
4. Nijibu basi.
5. Hlw
6. Umeamua unikalie,kimya sasa usinitafute tena.
Pole bana tafuta wakili mzuri akakusaidie unaeza pata faida nzuri kwenye hiyo kesi.😀😀😀😀😀
 
hahahaha........sawa mkuu,nishaongea na boss TL kesi itaunguruma soon tuu.umenichkesha sanaaaaaaa
 
amna mkuu,kuna sababu kubwa moja tuu...nikwamba hyo miez 6 iko vp mi sikuwapo sehemu alipo huyo mtot..so baada ya siku izo ndo now mekuja kutake over wala hat sijachkua muda kumpat..tatzo mazngira.
Sawa mkuu sasa ukipata upenyo kakamue mpaka kasahau njia ya kurudi kwao ukijumlisha na hasira za voda.
 
hahahaha........sawa mkuu,nishaongea na boss TL kesi itaunguruma soon tuu.umenichkesha sanaaaaaaa
Bora yako sms za kawaida tu lakini mwenzio Tigo washawahi nifedhehesha, nilipanga kukutana sehemu na mtoto kumla sasa nikawa sina hela cash ila hela ipo kwenye simu.
Kila nikipiga menu yao inaload then inakata, aseh nilijaribu siku hiyo kama chizi mwisho wa siku akalipia yeye!.
Kufika room kwangu badae ikaingia sms "MPENDWA MTEJA TUNAOMBA RADHI KWA MATATIZO YA KIUFUNDI SASA UTAWEZA FANYA MIAMALA KAMA KAWAIDA"..
Nikiifikiria ile aibu ya kibanda cha Tigopesa siweki hela kwenye simu kwakweli..
 
poleeeeeeeee mkuu.
 
Back
Top Bottom