Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
dah usingzi haupo kabisa,yani kwa sababu yenu nyie jamaa wa voda na limtandao lenu,sijui kwanin mnanifanyia hivi kila siku hasa kwa watu na marafiki nawapenda.
leo ndo mmeamua kunipeperushia ndege wangu ambae nimemuwinda kwa siku ming sana,ka miez 6 ivi..nimekuja memuweka kwa mstari na kanielewa yani memkamata,ila kwa sababu ya mtandao wenu kuwa mbovu,
nasikitika sana jioni hii majira ya saa 2 hiv ndege wangu,kakimbia kutoka mikononi mwangu kwa sabu ya upuuzi wenu coz mtoto kanitumia texts zaid ya 5 kakuta kimya sijibu text zimetumwa toka saa 11 jioni nimekuja kuzipata usiku saa 2.00 na text ya mwisho inasema "umeamua unikalie,kmya..sasa usinitafute tena" asee,mpaka saiv mtot kagoma kunielewa kuwa sio kosa langu ni lenu,na ndo nimekosa mazima vitu ama rasilimali yangu changa kabisa nimeipoteza.
na kuanzia kesho nahama mtandao wenu mmenikera sana,la sivyo mje mtaani kwangu mumwelekez baby wang anisamehe...dah nyie jamaa ni wauaji.natafuta usingzi hapa nw hauji...
[HASHTAG]#shameonyouvodacom[/HASHTAG]