Dah! Wabongo wamepiga 194 billions kwa utafiti hewa kwenye shirika la reli

Do you think the fund will never get back to the government??[emoji23][emoji23] Whoever did it will have to pay back.. Kwa kuanza tu viongozi wawili wameachishwa kazi ili kupisha uchunguzi na wakibainika watafikishwa mahakamani ili kuzilipa au waozee jela..
Unafkiri magufuli ni UHURU..
Eti hela zitarudishwa? Hii sio Tom and Jerry my friend.
 
Ivi wewe unaijua hii Serikali au unajiongelesha tu.. Juzi tu kuna mfanyabiashara ameuziwa nyumba zake karibu tatu kwa kutokulipa kodi aliyokuwa anadaiwa na Serikali sembuse hao walioiba Pesa nyingi hivyo!?.. Hawawezi Ku survive hao hata kidogo, nilazima watalipa.. Hela ya magufuli haiendi kizembe namna hiyo
 
Unajisifu ujinga na upumbavu! Magu is a corrupt leader!
 
Back
Top Bottom