pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Eti hela zitarudishwa? Hii sio Tom and Jerry my friend.Do you think the fund will never get back to the government??[emoji23][emoji23] Whoever did it will have to pay back.. Kwa kuanza tu viongozi wawili wameachishwa kazi ili kupisha uchunguzi na wakibainika watafikishwa mahakamani ili kuzilipa au waozee jela..
Unafkiri magufuli ni UHURU..