Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

Hii maada inahusu nini? Sio dini wewe pimbi?
Mwenyewe ulivyo jeusiii tii kama tako la iddi Amin hapo ulipo unatamani kuwa mwarabu. Eti mmeahidiwa mkifa kwenye uislamu mnabadilika kuwa miarabu ndo maana mnajisugua na misteel wire na msasa kwenye mipaji yenu mieusii ili mpate sijdah kujihakikishia kuwa miarabu mkishakufa kwenye uislamu.


adriz Jagina
 
Mwenyewe ulivyo jeusiii tii kama tako la iddi Amin hapo ulipo unatamani kuwa mwarabu. Eti mmeahidiwa mkifa kwenye uislamu mnabadilika kuwa miarabu ndo maana mnajisugua na misteel wire na msasa kwenye mipaji yenu mieusii ili mpate sijdah kujihakikishia kuwa miarabu mkishakufa kwenye uislamu.


adriz Jagina

Nimecheka sana zaidi ya balaa!! Malaria 2 usijifanya haujaona hii.....
Kuna yule mwingine brazaj
 
Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka.


The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo Delgado Province since 2017, is scheduled to end by June 2024. Mozambican security forces will then take full responsibility for security.

We asked military science and defence expert Thomas Mandrup, who has published a paper on the situation after a recent ground visit, to evaluate the mission.


Why did the military mission in Mozambique intervene?​

The militia insurgency by the group now calling itself Al Sunnah had been spreading rapidly in the Cabo Delgado Province from late 2019.

SADC member states had been putting pressure on the Mozambican government to allow a regional military intervention to prevent the insurgency from spreading in the region. Their fear was that Islamic State (Isis), to which the extremists are affiliated, would get a bridgehead from which they could expand their operations.

More than 850,000 civilians had been forced to flee their homes after violent attacks by the extremists.
The insurgency caused the suspension of a $60 billion investment in a liquefied natural gas project led by multinational energy giants TotalEnergies, ENI and Exxon. The hope had been that the development would drive local, national and regional economic growth.

The SADC decided to deploy a combined force of 2,210 troops. The mission is dominated by a South African contingent of 1,495 soldiers.

Other troops come from Botswana, Tanzania, Lesotho, Namibia and Angola.

The thinking was that they would eliminate the Al Sunnah presence in its area of operation.

How successful was the mission? What were the challenges?​

The SADC military mission had several main strategic objectives:

  • neutralising the extremists
  • assisting the Mozambique Defence Armed Forces in planning and undertaking operations
  • training and advising the Mozambique forces.
The SADC member states also planned to supplement the military efforts with humanitarian aid and even development projects to sustain the progress made by the mission.

An internal assessment report was presented at the July 2023 meeting of the then SADC leadership troika (Zambia, Namibia and South Africa).

It concluded that the SADC mission had achieved its objective of reducing the insurgents’ capacity and assisting the Mozambican military. In addition, 570,000 internally displaced people had returned to their homes by August 2023, as the security situation had improved.

Read: Mozambique security forces kill 16 insurgents

However, since the second half of 2023, the number of attacks has increased, leading to a rise in the number of displaced people.

Samim has found it difficult to fulfil its mandate of training the Mozambican force because they couldn’t identify their training needs.

The development and humanitarian efforts have been limited at best.

The assessment report also concluded that the mission had suffered because it was never given the capabilities outlined in the initial SADC pre-mission report of April 2021.

Firstly, the force was smaller than initially recommended. It never went beyond 2,200, a far cry from the mandated 2,900. The mission lacked numbers and capabilities in terms of air, naval and ground assets. Lack of funding was key to the mission’s limited size and capabilities.

Secondly, coordination and joint operations with the Rwandan forces, which had been deployed in July 2021, the SADC force and the Mozambican security forces have been problematic. For example, they had different communication equipment and the soldiers spoke different languages.

Thirdly, intelligence gathering capabilities were weak. Insufficient information before operations commenced increased the danger to troops and civilians.

Fourth, intelligence and operational information was frequently leaked to the extremists.

What lessons can be learnt from the operation?​

An outside intervening force must have the full backing of the host nation. And it must understand the area and situation it’s being deployed into. The Mozambican government and military have not always worked with the mission. Seemingly hidden agendas, or different priorities, have hampered the mission.

Read: SADC to provide humanitarian aid to Mozambique IDPs: diplomat

The Mozambican government’s delayed and timid response to the growth of the insurgency from its beginning raises a number of questions:

  • why was its response so slow and insufficient?
  • why did it oppose regional involvement for so long?
  • why has the SADC mission at times found it difficult to strike at the core of the insurgents?
The difficult political situation in the capital Maputo notably factional battles inside the governing Frelimo and the fallout over the huge 2013-2014 Tuna bonds corruption scandal, hampered the mission.

During my recent fieldwork several interviewees even suggested that a faction of Frelimo had at times supported the insurgents.

In addition, strong personal, political and economic interests affected operational realities. Frelimo has strong ties to the region going back to the war of independence against Portugal, and later the civil war between Renamo and Frelimo. The cleavages from the civil war have never been really solved and are still visible.

It was clear that the Mozambican government didn’t have a clear plan to address the many causes of conflict. For example, it did not understand why the insurgency had attracted support from large sections of the local population.

Many people living in Cabo Delgado view the Mozambican state as removed from their everyday realities. Some even see the government as illegitimate and the cause of their suffering. An effective stabilisation effort needs various interventions – military, socioeconomic and political – to resolve the difficult conditions people are living under.

The SADC mission was starved of the capabilities and numbers needed to be an effective fighting force. The local population considered it less effective than, for instance, the Rwandan force, which was also better equipped and trained.

Read: In Mozambique’s war, allies Rwanda, TZ face some tricky odds

What needs to happen​

Insurgency activities are once again on the rise in Cabo Delgado. The risk is that the extremists will once again take a stronger foothold there since the issues that led to the conflict in the first place remain unresolved.

The SADC mission shows how difficult and costly it is to launch and run a large scale military operation, especially if the host government is not taking full ownership and supporting the operation. The SADC operation can only create “space” for the political solutions to be found.

In addition, the Mozambican government and its security force have shown only limited signs of improved capacity. It is uncertain that they are ready to take over the full responsibility for security after June 2024, when the SADC soldiers leave.

By Thomas Mandrup - Associate Professor, Security Institute for Governance and Leadership in Africa (SIGLA), Stellenbosch University
SADC wameona hakueleweki eleweki.Magaidi si magaidi ni ushenzi tu wa mataifa ya kibeberu.
 
SADC wameona hakueleweki eleweki.Magaidi si magaidi ni ushenzi tu wa mataifa ya kibeberu.

Hiyo dini ya wavaa Madera/kanzu imekua kero, kwa mnavyochinja wananchi wa Msumbiji yaani full maugaidi, ukizingatia kiaina huwa mnaingia kusini mwa Tanzania.
 
Kabla ya bush kutangaza mihimili ya uovu 2000 na kuanza kupambana nayo 2001-2013,dunia ilikua imetulia tu

Dunia haijawahi kutulia tangu huyo muarabu abuni dini yake, kumbuka alikua anachinja sana wayahudi.
 
Dunia haijawahi kutulia tangu huyo muarabu abuni dini yake, kumbuka alikua anachinja sana wayahudi.
Lini myahudi alichinjwa na mwarabu!?..unajua hata historia au umebugia chuki tu kujamba hovyo!?..wayahudi wanaishi arabuni kabla hata Muhammad hajazaliwa,wameishi na Muhammad na wameishi baada ya Muhammad, wameishi Sana uturuki wakiiamini Dola ya uturuki mpaka Ben gurion alipohamia ulaya na marekani Kama mabwana zake
 
Hiyo dini ya wavaa Madera/kanzu imekua kero, kwa mnavyochinja wananchi wa Msumbiji yaani full maugaidi, ukizingatia kiaina huwa mnaingia kusini mwa Tanzania.
Mbona mavazi yetu yanafanana na Papa Francis na ya Yesu mnaemchora.Wake zetu wanavaa karibu sawa na masisita.
Sasa sijui unazungumzia madera gani hayo na sijui kwanini unayabeza.Au wewe ni madhehebu za kisabato.
 
SADC wameona hakueleweki eleweki.Magaidi si magaidi ni ushenzi tu wa mataifa ya kibeberu.
Acheni upumbavu wa kutetea ugaidi kisa waliwaletea dini wakati wanaouawa ni waafrika ndugu zenu. Mwarabu hawezi kukusaidia kwa hali yoyote ile.
 
Lini myahudi alichinjwa na mwarabu!?..unajua hata historia au umebugia chuki tu kujamba hovyo!?..wayahudi wanaishi arabuni kabla hata Muhammad hajazaliwa,wameishi na Muhammad na wameishi baada ya Muhammad, wameishi Sana uturuki wakiiamini Dola ya uturuki mpaka Ben gurion alipohamia ulaya na marekani Kama mabwana zake

Tatizo umedandia dini ya muarabu bila kusoma kuihusu, unavaa dera/kanzu ufanane na muarabu hujiulizi imeanza anzaje.
Kaulize alichokifanya huyo muhammad kwa Wayahudi wa Banu Qurayza
 
Mbona mavazi yetu yanafanana na Papa Francis na ya Yesu mnaemchora.Wake zetu wanavaa karibu sawa na masisita.
Sasa sijui unazungumzia madera gani hayo na sijui kwanini unayabeza.Au wewe ni madhehebu za kisabato.

Papa Francis amevaa hayo mavazi huko kama kiongozi wa dini, ila wewe Mmatumbi umevaa hilo dera hata kwenye kazi za vibarua, kila siku unaburuza hilo dera eti ufanane na Muarabu.
 
Kifupi baadhi ya viongozi wa Msumbiji waafaidika na uwepo wa hao magaidi
Majeshi ya sadc yametoa sababu kwanini yanaondoka
1. Ushirikiano hafifu na serikali ya. Msumbiji.
2. Ushirikiano wa viongozi wa Msumbiji na magaidi.
3.. uchache wa vifaa.
4. Kutopewa mamlaka ya kuyaangamiza.
5. Muda wao kuisha
Kwa hiyo hakuna sababu ya wao kupoteza muda Kama anayesaidiwa hatoi ushirikiano.
 
Back
Top Bottom