Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.

Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.

Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…