Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
"itiini mamlaka iliyoko juu yenu"mtumikie kafiri uupate ujira wako
kile kipindi cha shilawadu na RUGE wao wanaojidai FURSA inaanzia sokoni basi walikuwa tayri kwa hii stori wamepata fursa ya kujitangaza na WANGEANZIA KUMHOJI RUGE.Kipindiki kingepata umaarufu mara dufu kwa wao kuogopa kabisa kuzungumzia huu ubuyu imenipa shida sana kuamini kuamini mambo yao.na kwa watangazaji wao wanaojitambua wangeenda tu AZAM kama KIPANYA NA BERBIE KABAE ni wazuri.baadhi wengine ni kufuata upepop wa Ruge tu na hasa HASSAN NGOMA anajipendekeza sana na sio objective kwenye interviews ndio maana siku kabae anamuhoji MWIGULU ilibidi wamtume dukani kwani angekuwepo kwenye kipindi angejipendekeza kwa mwigulu na kuharibu mjadalaRuge hana mke? wabongo mnakuza vitu mpaka basi
wewe mchango, kadi ba zawadi ulizopeleka ziko wapi?
DuuuhNaona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Wafanyakazi wa clouds hawana tofauti na wale wenyeviti waliokua wanapiga makofi kila neno alilolitamka mkuluNaona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
hata wale mashost zake kama Gea na husna wamemchunia....hasimu wa boss ni hasimu wako pia utake usitake....
siyo ccm lakini"itiini mamlaka iliyoko juu yenu"
siyo ccm lakini