Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Kumu wish?
Dunia inaenda kasi sana aisee!

Ok kwa matakwa ya fikra zako na kwa niaba ya mavunde namuwish bad lucky!

Kamwambie.
 
Ruge anatisha,akikumind kazi huna,ila kumtakia mtu heri sidhani kama ni tatizo
 
Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Ruge anaharibugi kuchanganya bifu binafsi na biashara.
 
Hata Mimi nisingemuwishi,huyo ssta sio kabisa,kuolewa sio tatizo lkniii kuachia zile clip za Ruge akimlilia alikusudia kuonyesha nini??au alitaka mume mpya ajue ana sukari so analiliwa???nisiongee sana nisijemtusi naogopa makosa ya mtandaoniiii
 
Hivi kwani bdo anafanya kzi Clauds ama ameshaacha?
 
Kuna mmoja huko, kavuliwa Nguo na mange kimambi mchana kweupe.
Uboya tu. Hawana lolote
 
Alie juu mngoje chini Zamaradi ndie aliesababisha Dina Marius kutoka Clouds sasa zamu yake na yeye.
Maisha hayana formula
Kweli lakini.
Karma is .....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingawa zama kafanya maamuzi sahihi ila kwa ishu za kinafiki wafanyakazi wote wa redio mawingu ndio zao. Mnakumbuka ishu ya Dina Marios pale mawingu chanzo ni uyu uyu tunayemuonea huruma leo.
 
Hata Mimi nisingemuwishi,huyo ssta sio kabisa,kuolewa sio tatizo lkniii kuachia zile clip za Ruge akimlilia alikusudia kuonyesha nini??au alitaka mume mpya ajue ana sukari so analiliwa???nisiongee sana nisijemtusi naogopa makosa ya mtandaoniiii
Ntumie hio clip mkuu
 
Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Ukisikia mengine anayowafanya Ruge si utazimia mkuu?
 
Back
Top Bottom