jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Kumu wish?Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Dunia inaenda kasi sana aisee!
Ok kwa matakwa ya fikra zako na kwa niaba ya mavunde namuwish bad lucky!
Kamwambie.