Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

Hahahahahaah,huwa nashangaa sana watu wanapokuwa serious na kitu kama sherehe ya kuzaliwa...inafika wakati mtu anamind usimpomuwish...ahahhahaaa mimi mwenyewe nikijua nimezaliwa leo inatosha
 
Harufu inayonukia hapa ni kumpoteza Zama kiasi wawezacho. ndio style ya hawa mawingu fm. mnaweza msimsikie tena Zama labda um follow IG na FB huko
 
Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
watakula wapi mkuu....ajira zao kashika ruge...
 
Nahisj wengi hapo hawana vyeti vya taaluma yao wanaogopa wakifurushwa wataenda wapi. Hapo wanafanya kwa vipaji
ni kweli aisee yaani ni kama wamepewa fadhila yaani waoga wote watangazaji.sidhani kama mtangazaji anayejitambua na ana vyeti poa atakaa kuwalamba miguu pale.wanaajiliwa kwasababu ya sauti tu halafu unakuja kumuhoji mtu ana madini kichwani utamwambia nini zaidi ya kumwambia achague mziki wa singeli.
 
Kuna siku Mandela aliongea Jambo la msingi sijui niliweke Kwa kimombo au Kiswahili dah
 
!
!
Rafiki wa rafiki yangu ni rafiki yangu. Adui wa rafiki yangu ni adui yangu pia. Adui wa adui yangu huyu ni rafiki yangu
 
kile kipindi cha shilawadu na RUGE wao wanaojidai FURSA inaanzia sokoni basi walikuwa tayri kwa hii stori wamepata fursa ya kujitangaza na WANGEANZIA KUMHOJI RUGE.Kipindiki kingepata umaarufu mara dufu kwa wao kuogopa kabisa kuzungumzia huu ubuyu imenipa shida sana kuamini kuamini mambo yao.na kwa watangazaji wao wanaojitambua wangeenda tu AZAM kama KIPANYA NA BERBIE KABAE ni wazuri.baadhi wengine ni kufuata upepop wa Ruge tu na hasa HASSAN NGOMA anajipendekeza sana na sio objective kwenye interviews ndio maana siku kabae anamuhoji MWIGULU ilibidi wamtume dukani kwani angekuwepo kwenye kipindi angejipendekeza kwa mwigulu na kuharibu mjadala
Sio bongo tu hata Ulaya hakuna uhuru wa habari kuna Uhuru wa wenye vyombo,pesa na mali Clouds Media Group haiwezi kumpinga Ruge kama IPP Media haiwezi kumpinga Mengi.
 
Back
Top Bottom