Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

Hahahahahaah,huwa nashangaa sana watu wanapokuwa serious na kitu kama sherehe ya kuzaliwa...inafika wakati mtu anamind usimpomuwish...ahahhahaaa mimi mwenyewe nikijua nimezaliwa leo inatosha
 
Harufu inayonukia hapa ni kumpoteza Zama kiasi wawezacho. ndio style ya hawa mawingu fm. mnaweza msimsikie tena Zama labda um follow IG na FB huko
 
watakula wapi mkuu....ajira zao kashika ruge...
 
Nahisj wengi hapo hawana vyeti vya taaluma yao wanaogopa wakifurushwa wataenda wapi. Hapo wanafanya kwa vipaji
ni kweli aisee yaani ni kama wamepewa fadhila yaani waoga wote watangazaji.sidhani kama mtangazaji anayejitambua na ana vyeti poa atakaa kuwalamba miguu pale.wanaajiliwa kwasababu ya sauti tu halafu unakuja kumuhoji mtu ana madini kichwani utamwambia nini zaidi ya kumwambia achague mziki wa singeli.
 
Kuna siku Mandela aliongea Jambo la msingi sijui niliweke Kwa kimombo au Kiswahili dah
 
Kipindi cha Zamaradi huwa ni lini na saangapi nisubirie hiyo siku nitazame? Ama boss kamfuta kazi?
 
!
!
Rafiki wa rafiki yangu ni rafiki yangu. Adui wa rafiki yangu ni adui yangu pia. Adui wa adui yangu huyu ni rafiki yangu
 
Sio bongo tu hata Ulaya hakuna uhuru wa habari kuna Uhuru wa wenye vyombo,pesa na mali Clouds Media Group haiwezi kumpinga Ruge kama IPP Media haiwezi kumpinga Mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…