Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Noma sana mkuu....Nyanya ni nyanyue, nyanya ni nyanyase
JOB IS A MEASURE OF HUMANITY/KAZI NI KIPIMO CHA UTU..
Mkuu umenichekesha sana,..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana mkuu....Nyanya ni nyanyue, nyanya ni nyanyase
Assila na captainUmelima aina gani ya nyanya
Mbona assila ni nzuri sana kama umeitoa vizur mana ndio moja ya mbegu za kenya ungelima na mbegu nyingine wanazolima huko kama bigrock nayo sokon inafanya vizur kama unamzigo assila dar unauza chapAssila na captain
Kenya la Babu.Tanzania ni shamba la bibi
Amenyanyaswa, hiyo ndo kauli mbiu ya wakulima wa nyanya morogoro 😊😊😊Kwahio yeye kafanyaje?
Tz inawekeza kwa simba na yanga.Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa.
Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa Ethiopia, Malawi na Zambia.
Wiki iliopita tar 12 mach niliuza kreti ya nyanya kwa 35,000/= shambani hv ninavoandika tokea juzi hakuna mnunuzi anataka nyanya wote wamekimbilia nyanya Kenya, kama serikali na wizara ya kilimo inawalindaje wanachi wake hususani wakulima tena wanaolima mazao ambayo n ghali kuyalima pia yakikomaa hayatakiwi kusibiri Zaid ya kwenda kwenye matumizi husika.
Sasa hii hasara kwa wakulima wa ngare, ngabobo, nduruma, rombo, chekereni, kahe, bima kikafu, TPC newland, mtakuja, ruaha-mbuyuni ambayo tushaanza kupata katibu wa wizara kilimo, waziri wa kilimo, wakuu wa MKOA, wakuu wa wilaya husika tunaomba mpigie stop uingizeaji wa mazao ya mbogamboga hususani nyanya na kitunguu Ili kuokoa uchumi wa taifa na kumlinda mkulima mzawa.
Mwenye anaweza kufikisha ujumbe kwa wizara na waziri wa kilimo hata wakuu wa wilaya wa mipakan na Kenya naomba atusaidia mana tunaenda kutumia vibaya sana.
Tunaomba mamlaka ziingilie kati na kuweka utaratibu mzuri unaofaa katika ununuz na uuzaj wa mazao hapa nchini.
Bila kuwasahau wasaniiTz inawekeza kwa simba na yanga.