Dah! yani usiku wa kuamkia leo sijalala kwa raha kabisaaa

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,647
Wapendwa!!!

Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 0-2
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.

Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago ilhali lile bwawa lao pale panapofugwa vyura hapapitiki kwa mafuriko?? Inauma sana....kiukweli ndoto hii naikemea kama pepo [HASHTAG]#lishindwe[/HASHTAG]
 
Wapendwa!!!

Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 2-0
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.

Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kiukweli ndoto hii naikemea kama pepo [HASHTAG]#lishindwe[/HASHTAG]
Wachawi hawana.maana kabisa.
 
Utalalaje kwa raha wakati upo katika nchi isiyo na furaha
 
Hujalala kabisa afu umeota, endelea kuota
 


Mungu ibariki al masry kwa matokeo ya 2 0.
 
Matokeo yakiwa kama ulivyoota,basi nipigie kupitia namba 0753989302.demu wangu ni mkali balaa,tatizo anapenda sana ngono.hapa nilipo nimemkimbia ndani,naimani nikikuunganisha nae hawezi kukataa kwani ananiogopa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…