Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

Ungekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani
Kwahiyo wataka tuige upuuzi wanaoufanya ulaya
 
Mkuu umesema ukweli mtupu hasa hapo pa kupost picha zisizofaa, ila watu wamejaa na uteam hata penye njano wanaona nyeupe.

Ingekua mtanzania mwenzao wangemtukana mpaka basi kuwa hana maadili, watanzania kwa unafki hatujambo.
 
kama kuna kitu sijakielewaga mpaka sasa ni kilichomsababisha diamond kumfanya zari mpenzi wake wakati miaka yake zari imetembeaaaa...msinitajie mapenzi manake hapo hakuna mapenzi hata chembe..ila fame yaweza kuwa sababu
 
Hii sred ya kike kike nadhan nimepotea njia [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu we noma yaani nimecheka sana.

lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia, Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa makalio kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
Hii nimeipenda pia!!!Dai ni rimbukeni mwafrika nywele ngumu lini akaona mbelee mkuu anyway umemshauri vizuri
 
Mapema hivo alishatoka msibani? Yaan huyu akufata mapenzi wala pesa alifata kiki za kuonekana kwenye tv

nilisema kuhusu zari kutolia msiban mkanitolea povu

sipati picha siku mond akizima mazima
 
Majonzi mnakuwaga nayo nyinyi watu wenye njaa njaa, matajiri wakipatwa na misiba hawalii kwa mayowe wanatoa tu handkerchief wanafuta pua
 
DAIMA ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE

KUNA WANAUME WANAFIWA NA WAKE ZAO NA KISHA WANAOA NDANI YA MWEZI MMOJA ILA WALA HAWASEMWI VIBAYA ZAIDI YA KUSIFIWA

KASHESHE AFANYE HIVYO MWANAMKE ALIYEFIWA NA MUMEWE NDANI YA MWAKA MMOJA ATATUKANWA MATUSI YOOTEE,MASIMANGO TELE VIONGOZI WA WANAFIKI HAO WATUKANAJI NI WANAWAKE WENZAKE AISEE
View attachment 517504
#amwithzari#
Haswaaaa huyu kiwivu kimemgusa..
Why dont they mind their own bussinesss.
Watu familia na koo zao zina matatizo kibao lkn hamsolve kazi kukalia ya watu...mxiiuu
 
mtoa mada pia inaelekea huna exposure kubwa ya desturi za kimagaribi/ulaya mtu unafiwa na mmeo/mkeo na unaenda dukani mwenyew kununua mkate na baada ya mazishi wanaenda bar kucelebrate mtu wao baada ya hapo maisha yanaendelea kawaida uku ndo tumezoea kujifunika funika na kulia tuuuuuu ndo maana mmemuona zari waajabu kupost
 
Mapema hivo alishatoka msibani? Yaan huyu akufata mapenzi wala pesa alifata kiki za kuonekana kwenye tv

nilisema kuhusu zari kutolia msiban mkanitolea povu

sipati picha siku mond akizima mazima
Kwahiyo yule aliyekua analia msibani ni mama yako mzazi...au bibi yako....
Ulitaka agale gale..
Nyie tatizo mnalia kwa sifa...
Msibani ht kuoga hamtaki kuoga eti mna uchungu...
Kwanza kwa kawaida kulia sna ni kukufuru Mungu...
Ulitaka alieje...
Acheni wivu wanawake
 
Ya mumewe (marehemu) ni ya Diamond? 😉😉
Hivi watu kama ma-super star wanaanza kubishana huyu mtoto wake au sio huu si upuuzi wakati unakuta kuna vipimo vya DNA kwa mkemia mkuu wa serikali ambapo gharama zake si dhani Kama wasanii wakubwa zitawashinda.
 
Diamond arudie hesabu yake tena:-
1. Zari ni mfanyabiashara
2. Zari ndiye anayekuja kuja kiwa mmiliki mkuu wa mali za ivan
3. Zari ndiye mama wa watoto wa marehemu na watoto wa diamond
4. Zari ndiye sehemu ya "mentor" wa diamond katika ustaa wake
5. Zari ataandamwa na marafiki na ndugu wa Ivan upande mmoja, na mama diamond na washindani wake upande wa pili.
6. Zari anahitaji awe binti kama wengine.
 
Mkuu umesema ukweli mtupu hasa hapo pa kupost picha zisizofaa, ila watu wamejaa na uteam hata penye njano wanaona nyeupe.
Ina maana picha za shuguli za mazishi ndizo unazosema picha zisizofaa au kuna picha zingine?!

Halafu huu unafiki watu mnaoutoa wapi?! Hivi ni kweli kabisa mnaamini mwanamke aliyeachika na mumuwe over 3 years ago lakini mwanaume huyo akifariki ndo basi tena huyo mwanamke anaubebea bango huo msiba utadhani ndo amekuwa dada wa marehemu!!! Yaani ndo mnataka kutuaminisha huko mitaani kwenu ndivyo inavyokua; au?!
 
Back
Top Bottom