Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna wana jf hufiwa na wazazi wao na hupata nguvu za kupost humu? mbona wengi tuu wakifiwa wanapost na kurusha picha za msiba? Zari amefanya nini kipya?kwa kweli kipengele cha kua bize na mitandao ya kijamii,kupost mipicha kabla ya kumpunzisha baba watoto wake katika makazi yake ya milele kimenitia simanzi na kunifanya nimuone popoma.
tena picha moja kaipa mgongo kamera.yani tako tako balaa lilitokelezea na ndicho kilichomfanya aipost
hilo tu ndo nililojudge
Ungekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani
Hahahahhaaa OMG...mama Dai hawezi kubali,Nyumba ya Madale tu jina ni la mama DaiKipindi hiko freemason wamemchukua domo, sipati picha wakina esma na mama yake watavyokuwa anagombania mali [emoji23][emoji23] mganda anakomaa watoto wake warithi mali za baba yao mapemaaa
Sisi hatuko Ulaya Mkuu,Sisi tuko Tanzania Africa,Siyo Culture yetu,kwa hiyo unachokisema kinaweza kuwa sawa Ulaya na kisiwe sawa AfricaUngekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani
Ushawahi kuona mama anasingiziwa mtoto mkuu?Kama siyo wa Zari ni wa nani sasa?Kwa unauakika kama Huyo mtoto mdogo ni wa Zari??
Mkuu hakuna sehemu mbona niliyosema Zari alifata pesa kwa Ivan?Nimesema kwa Dai first thing ilikuwa ni umaarufu...Ivan was her true loveWatanzania tunanishani ya kumpangia mtu mambo ya kufanya, mtia mada anaaema Zari alifuata utajiri kwa Ivan,ila umeshasahau Ivan kaanza kupata hela 2008 na wakati huo tayari walisha kuwa na watoto wawili na Zari.sasa Zari alifuata hela au Hela ziliwafuata Ivan na Zari? Tunajfanya tunamjua Zari, wakati tumemjua baada ya kuanza kudate Na Diamond, hembu tuangalie maisha yetu tumuache Mganda na Maisha yake.
Dua la kuku halimpati mwewe.
Basi Dai na Ivan watakuwa ni ndugu wa damuHahaha yule mtoto ni wa Dai jamani,waangalieni lips zile
mh jaman kutoa taarifa na mipichapicha vitu viwili tofauti ujueMbona kuna wana jf hufiwa na wazazi wao na hupata nguvu za kupost humu? mbona wengi tuu wakifiwa wanapost na kurusha picha za msiba? Zari amefanya nini kipya?
hahahaaa na vichambo juu kwa waliovaa nguo za mumeweYaan alikuwa anapost daily halaf mkavu lo
So true....nWabongo mko shida sana...mna act kana kwamba Mwenyezi Mungu naye anafikiri na kutenda kama binaadamu.
Hakuna chochote Zari alichokosea.
Aliyekwambia kuwa kulia sana msibani ndio dalili kuu ya kuguswa na msiba ni nani? mnatekwa kirahisi sana na tabia za kinafiki na kudhani kuwa Mungu naye anadanganyika hivyo hivyo.
Hata aliyewahi kutamani kukuua siku moja anaweza akalia sana msibani na Watu wakadhani ameguswa kumbe ni ameumia kwa nini ameikosa hiyo chance.
Unapita uswahilini unakutana na Mtoto/Watoto wadogo wanacheza kwenye mfereji wa maji machafu...au wanacheza barabarani bila uangalizi mpaka unajiuliza kama hao Watoto wana Wazazi..sasa itokee Mtoto amefariki utamuona Mzazi anavyolia na kujigaragaza kama kichaa.