Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

kwa kweli kipengele cha kua bize na mitandao ya kijamii,kupost mipicha kabla ya kumpunzisha baba watoto wake katika makazi yake ya milele kimenitia simanzi na kunifanya nimuone popoma.

tena picha moja kaipa mgongo kamera.yani tako tako balaa lilitokelezea na ndicho kilichomfanya aipost

hilo tu ndo nililojudge
Mbona kuna wana jf hufiwa na wazazi wao na hupata nguvu za kupost humu? mbona wengi tuu wakifiwa wanapost na kurusha picha za msiba? Zari amefanya nini kipya?
 
Ungekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani

Ndio maana Africa ni Africa na ulaya ni ulaya... wewe wa wapi mkuu?
 
Ungekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani
Sisi hatuko Ulaya Mkuu,Sisi tuko Tanzania Africa,Siyo Culture yetu,kwa hiyo unachokisema kinaweza kuwa sawa Ulaya na kisiwe sawa Africa
 
Watanzania tunanishani ya kumpangia mtu mambo ya kufanya, mtia mada anaaema Zari alifuata utajiri kwa Ivan,ila umeshasahau Ivan kaanza kupata hela 2008 na wakati huo tayari walisha kuwa na watoto wawili na Zari.sasa Zari alifuata hela au Hela ziliwafuata Ivan na Zari? Tunajfanya tunamjua Zari, wakati tumemjua baada ya kuanza kudate Na Diamond, hembu tuangalie maisha yetu tumuache Mganda na Maisha yake.
Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Mkuu hakuna sehemu mbona niliyosema Zari alifata pesa kwa Ivan?Nimesema kwa Dai first thing ilikuwa ni umaarufu...Ivan was her true love
 
MBEYA NI MTU MWENYE TABIA YA KUTAFUTA HABARI ZA WATU WENGINE NA KISHA NA KISHA AKAZITANGAZA; MDAKU AU KILIMILIMI

Chanzo:
Kamusi ya Kiswahili Sanifu, iliyotolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili - Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam,Toleo la 2002
 
Mbona kuna wana jf hufiwa na wazazi wao na hupata nguvu za kupost humu? mbona wengi tuu wakifiwa wanapost na kurusha picha za msiba? Zari amefanya nini kipya?
mh jaman kutoa taarifa na mipichapicha vitu viwili tofauti ujue
 
Kwa watoto under 18 hiyo ni child abuse mzazi ananyang'anywa watoto iwapo itafahamika
 
Yule demu (Zari)kauzu jamani tuache masihara utafikiri ana undugu na Le MadamFrola
 
WIVU.COM

Umeandika kituko cha dunia eeeeeeeeh

WIVU.COM kabisaaaaaaaaa umekukamata basi tu la kukuandika vibaya halafu hujatumia akili....fiwa wewe ulie kila sekunde na ushindwe kuongea, hadi nawe uondoke duniani.
 
Uzuri wa Wabongo ndio huu!!

Lau kama Zari angekuwa full vilio, bado wangetokea wengine wangesema "...si mmeona alivyokuwa analia! Walikuwa hawajaachana wale ndio maana amejisikia uchungu kweli kweli Ivan kufariki!"

Hilo la kwamba huamini kwamba alimpenda Diamond kwa dhati mbali na fame yake! Ni lini nyie wanawake mmeanza kumpenda mtu bila sababu?! Tangu enzi za mababu, mwanamke hajapata kumpenda mwanaume bila sababu!!!

Zile kauli zenu kwamba "...nimekupenda wewe kama wewe..!" Ni boya tu ndie anaweza kuamini kauli kama hizo!!!
 
Wabongo mko shida sana...mna act kana kwamba Mwenyezi Mungu naye anafikiri na kutenda kama binaadamu.

Hakuna chochote Zari alichokosea.

Aliyekwambia kuwa kulia sana msibani ndio dalili kuu ya kuguswa na msiba ni nani? mnatekwa kirahisi sana na tabia za kinafiki na kudhani kuwa Mungu naye anadanganyika hivyo hivyo.

Hata aliyewahi kutamani kukuua siku moja anaweza akalia sana msibani na Watu wakadhani ameguswa kumbe ni ameumia kwa nini ameikosa hiyo chance.

Unapita uswahilini unakutana na Mtoto/Watoto wadogo wanacheza kwenye mfereji wa maji machafu...au wanacheza barabarani bila uangalizi mpaka unajiuliza kama hao Watoto wana Wazazi..sasa itokee Mtoto amefariki utamuona Mzazi anavyolia na kujigaragaza kama kichaa.
So true....n
 
Back
Top Bottom