Mbona zari maarufu loong tu before hata huyo diamond?Mkuu hakuna sehemu mbona niliyosema Zari alifata pesa kwa Ivan?Nimesema kwa Dai first thing ilikuwa ni umaarufu...Ivan was her true love
Kwahiyo wataka tuige upuuzi wanaoufanya ulayaUngekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani
Alikuwa maarufu UG....Tanzania,Kenya,Rwanda n.k ni baada ya kuwa na DaiMbona zari maarufu loong tu before hata huyo diamond?
Utakua umeanza kumjua after IGAlikuwa maarufu UG....Tanzania,Kenya,Rwanda n.k ni baada ya kuwa na Dai
[emoji3]mkuu, ufafanuzi tafadhari.Ya mumewe (marehemu) ni ya Diamond? 😉😉
Hii nimeipenda pia!!!Dai ni rimbukeni mwafrika nywele ngumu lini akaona mbelee mkuu anyway umemshauri vizuriMkuu we noma yaani nimecheka sana.
lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia, Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa makalio kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
Haswaaaa huyu kiwivu kimemgusa..DAIMA ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE
KUNA WANAUME WANAFIWA NA WAKE ZAO NA KISHA WANAOA NDANI YA MWEZI MMOJA ILA WALA HAWASEMWI VIBAYA ZAIDI YA KUSIFIWA
KASHESHE AFANYE HIVYO MWANAMKE ALIYEFIWA NA MUMEWE NDANI YA MWAKA MMOJA ATATUKANWA MATUSI YOOTEE,MASIMANGO TELE VIONGOZI WA WANAFIKI HAO WATUKANAJI NI WANAWAKE WENZAKE AISEE
View attachment 517504
#amwithzari#
Ndio hicho kilichokushika wivu tafuta bwana chuma nae...akitajirika muue..la sivyo nenda kamuombe zari kazi ya kumchamba mavi..utalipwa pesa nyingi tu...hahahhahaa,na kweli anazoa mautajiri kama ananawa
Kwahiyo yule aliyekua analia msibani ni mama yako mzazi...au bibi yako....Mapema hivo alishatoka msibani? Yaan huyu akufata mapenzi wala pesa alifata kiki za kuonekana kwenye tv
nilisema kuhusu zari kutolia msiban mkanitolea povu
sipati picha siku mond akizima mazima
Hivi watu kama ma-super star wanaanza kubishana huyu mtoto wake au sio huu si upuuzi wakati unakuta kuna vipimo vya DNA kwa mkemia mkuu wa serikali ambapo gharama zake si dhani Kama wasanii wakubwa zitawashinda.Ya mumewe (marehemu) ni ya Diamond? 😉😉
Mimi pia...Afro SinemaHii movie nasubiria part nyingine
Ina maana picha za shuguli za mazishi ndizo unazosema picha zisizofaa au kuna picha zingine?!Mkuu umesema ukweli mtupu hasa hapo pa kupost picha zisizofaa, ila watu wamejaa na uteam hata penye njano wanaona nyeupe.