Waafrika tumedharaurika sana mbele za dunia lakini heshima pekee inayobakia kutulinda ni utamaduni wetu wenye ubinadamu na uungwana. Ni utamaduni huu huu ambao (mfano kwenye kabila langu) mtu akioa mwanamke aliyekwisha olewa na kuzaa watoto ni taboo. Kama ni kwa ajili ya kumaliza haja za mwili wala hiyo haina shida lakini sio kuoa na ndio maana watu walijiuliza pale kijana aliposema atahudhuria mazishi ...thank God haikutokea maana aibu inge extend kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa taifa atokako!wivu...kitu kibaya sana.
Huu upuuzi ndio unasababisha watoe mimba na wakiolewa hawapati watoto na wanaachika vilevile, kuna watu tele wameoa wanawake waliozaa na ndoa ni imara sana kuliko hao walio oa wanawake waliokua wanazuia mimba na mwisho vizazi vimekuwa sugu, kwa kuwa ni watu wanaotazamwa sana ndio maana inakuwa story hapa, ila Zari hajakosea kabisa, wala Dai hajakosea ni maisha yao wanayoyafurahi..hao wazungu ndio wanaongoza kwa talaka na watoto wanaishi kwa kulelewa na walezi walio oa mzazi mmoja wapo.Waafrika tumedharaurika sana mbele za dunia lakini heshima pekee inayobakia kutulinda ni utamaduni wetu wenye ubinadamu na uungwana. Ni utamaduni huu huu ambao (mfano kwenye kabila langu) mtu akioa mwanamke aliyekwisha olewa na kuzaa watoto ni taboo. Kama ni kwa ajili ya kumaliza haja za mwili wala hiyo haina shida lakini sio kuoa na ndio maana watu walijiuliza pale kijana aliposema atahudhuria mazishi ...thank God haikutokea maana aibu inge extend kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa taifa atokako!
mtaani tunasemaga kwako mmmhhh kwa wengne sawa ndo hiyo sasaHayo mambo mengine ya malezi ni ya kawaida - siyo duniani kote malezi na tamaduni zinafanana. Kwasababu tu tamaduni ya malezi ya nyumbani kwenu iko sahihi haina maana tamaduni za wengine ni mbovu
Hebu jaribu kuangalia jinsi Cristiano Ronaldo anavyoishi na mama yake halafu angalia kwa muktadha huo huo kwenye ulimwengu wa kiarabu halafu jaji who is right and who is wrong ?mtaani tunasemaga kwako mmmhhh kwa wengne sawa ndo hiyo sasa
Lips duhHahaha yule mtoto ni wa Dai jamani,waangalieni lips zile
Mkuu ulimsoma kweli mtoa mada? mimi nilikua na-refer alichokiandika no 5. ndiyo maana nasema ulkurupuka na still unakurupuka, kuna sehemu nimeongelea ubaya wa picha za msiba? Huoni hapo juu nimesema kabisa kupost picha za msiba binafsi sijaona kama ni tatizo sababu hata sisi kwenye misiba picha tunapiga au hujasoma?Picha zote za shughuli za mazishi alizo-post ni hizi hapa chini:
View attachment 517858
View attachment 517859
View attachment 517860
View attachment 517861
View attachment 517863
View attachment 517864
Haya nisaidie wewe sasa ili hatimae tuhitimishe ni nani kati yetu aliyekurupuka!!!
Ni ipi kati ya hizo picha ameshikwa makalio na kubinywa matiti?! Tena unadiriki kabisa kuandika icha "anazo-post" ameshikwa makalio, nyonyo... which means, ni zaidi ya moja!!! Yaani alikuwa ni full ku-post picha alizoshikwa makalio!!!
Na hapa usichanganye mambo... hakuna cha Team Mond wala Team nani hapa bali tunazungumzia haki ya mtu tena katika kipindi kigumu!!!
Hapa hata mtu kama Wema nishamtetea sana!!! Juzi tu hapa nilishasema kwanini watu wawe concerned na Linah kwa jambo lisilomuumiza yeyote na wala mtu sio ndugu yenu!!!
Labda na huyo Linah nae anahusika na masuala ya Mond!!
Duh! Naona unabadilisha magoli! Hiki ndicho uliandika:Mkuu ulimsoma kweli mtoa mada? mimi nilikua na-refer alichokiandika no 5. ndiyo maana nasema ulkurupuka na still unakurupuka, kuna sehemu nimeongelea ubaya wa picha za msiba? Huoni hapo juu nimesema kabisa kupost picha za msiba binafsi sijaona kama ni tatizo sababu hata sisi kwenye misiba picha tunapiga au hujasoma?
Tulia kunywa maji then usome kwa makini maana unaniambia kitu ambacho sijakisema, kama wewe unaona ni sawa kwa mzazi kubinywa tak...na nyony ...then unapost wakati una watoto wakubwa tu endelea kuamini ilo.
Kingine mtu akishakua celebrity ataongelewa tu ipo hivyo, tusipowaongelea mastar wetu tutawaongelea wakina nani? huwezi zuia ilo
Ndipo nami nikaku-quote na kuhoji:Mkuu umesema ukweli mtupu hasa hapo pa kupost picha zisizofaa, ila watu wamejaa na uteam hata penye njano wanaona nyeupe.
Nawe ukanijibu:Ina maana picha za shuguli za mazishi ndizo unazosema picha zisizofaa au kuna picha zingine?!
Kwavile unanijua mimi ni Timu Mondi basi bila shaka nafahamu unafahamu huwa siongei bila vielelezo! Kwa silika yangu hiyo, nikakuwekea picha za shughuli za mazishi alizo-post Zari kisha nikahoji:Nadhani ujanielewa
Naongelea picha anazopost kashikwa tak.... picha anazopost kabinywa nyony.... angekua kajala mngemsema kuwa hana maadili anafanya vitu vya ajabu wakat ana binti mkubwa, ila kwa zari mnamsifia sijui watoto wake yeye wote wananyonya!! Huo ndiyo unafki ninaouzungumzia.]
Sasa vipi tena unataka nirudi kwa mleta mada wakati nilikuwa nimeku-quote wewe?! Na muda wote tumeenda vizuri tu lakini tulipofikia kwenye picha na kukuomba uoneshe hiyo picha; unaanza kuomba msaada wa mleta mada...😀😀😀😀😀!!!!Picha zote za shughuli za mazishi alizo-post ni hizi hapa chini:
Haya nisaidie wewe sasa ili hatimae tuhitimishe ni nani kati yetu aliyekurupuka!!!
Ni ipi kati ya hizo picha ameshikwa makalio na kubinywa matiti?! Tena unadiriki kabisa kuandika icha "anazo-post" ameshikwa makalio, nyonyo... which means, ni zaidi ya moja!!! Yaani alikuwa ni full ku-post picha alizoshikwa makalio!!!
Kuhusu swala la umri watu wanachonga tu..mbona banana na mkewe wamepishana umri sana tu ...wivuuuKuhusu mengine ya kushikwashikwa sawa.ila suala la umri jamani muacheni.mbona wanawake wanaolewa na wanaume wakubwa.kama Yule killy alikuwa na kibabu kizee kinafika miaaka 80 mpaka kimejifia juzijuzi.ila kwa mwanamke watu watasema.diamond aliujua umri wake na akakubali.alikuwa na mahusiano na age zake yakawa hivyo hivyo.huyu yupo mature mwenyewe anamsifia anamuelewesha kuhusu utafutaji. Na tangu diamond aanze kusemwa wee kuhusu huyu mwanamke mpaka leo wapo wote.
Ah! Post yako nimechelewa kuiona cuz' ume-name/mention ndivyo sivyo!!!Katika malezi nimeona ana mazuri yake kama vile kuwafundisha watotot wake kujitegemea wakiwa bado wadogo lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
Hiki ndicho nilichorefer toka mwanzo nilivyocomment na ndiyo maana comment yangu ya kwanza kukujibu nilikujibu hivi kuhusu swala la msiba ( Kuhusu kupost picha za msiba mimi sioni tatizo maana hata kwenye misiba yetu watz hadi camera man tunamkodisha, so na hapo tuna unafki wa kumuona yeye kafanya vibaya wakati hata sisi tunayafanya.) sasa sijui wapi ambapo ujaelewa....
ha ha ha ha so mbishano wote huu ni sababu ya neno " kukurupuka "? mbona la kawaida tu kama ulikwazika na ilo niwie radhi mkuu. cc chige
Sit my son....drink some water[emoji23] [emoji23]Ah! Post yako nimechelewa kuiona cuz' ume-name/mention ndivyo sivyo!!!
Kuhusu kukurupuka, hivi unadhani hilo neno kwangu linanisumbua! Wala sikulilenga upande wangu bali nilitoa maelezo ili kukujenga kisaikolojia ukiri ulikurupuka!!!
Kuhusu mada, sasa mbona swali langu lilikuwa very simple and clear na nililielekeza kwako; kwamba "Ina maana picha za shuguli za mazishi ndizo unazosema picha zisizofaa au kuna picha zingine?!"
Naona wala hukua na sababu ya kutoa maelezo marefu zaidi ya kusema unazungumzia picha za zamani!!!?? Manake usisahau mleta mada hoja yake ya kwanza kabisa ilikuwa ni ku-post picha za mazishi!!!!
Lakini kwa upande mwingine, yaani chige aje kutoka povu kwamba sijui fulani hajiheshimu eti kisa ka-post picha "zisizofaa" mtandaoni?! Wakati huo huyo mtu ni ndugu yangu, au?!
Sio chige mimi na cku ukiona kitu kama hicho basi fahamu ID yangu imeibiwa! Sina muda na nini mtu anafanya Instagram!!! Na ukiona nime-post mada kama hizo basi itakuwa ni ama kuwa-diss wanaotoka povu au nitakuwa kimatani zaidi kuliko ku-mind!!
Trust me, I don't care!!! Hata hii issue ya Ben Pol majuzi nilikuwa nawacheka tu watu wanavyotoa mapovu!!!!
Mbona nilikujulisha kuwa sio picha za msiba mpaka nikakutolea mfano jinsi watz tulivyo? ahaaa tuachane na ilo hatutomaliza hapa!Ah! Post yako nimechelewa kuiona cuz' ume-name/mention ndivyo sivyo!!!
Kuhusu kukurupuka, hivi unadhani hilo neno kwangu linanisumbua! Wala sikulilenga upande wangu bali nilitoa maelezo ili kukujenga kisaikolojia ukiri ulikurupuka!!!
Kuhusu mada, sasa mbona swali langu lilikuwa very simple and clear na nililielekeza kwako; kwamba "Ina maana picha za shuguli za mazishi ndizo unazosema picha zisizofaa au kuna picha zingine?!"
Naona wala hukua na sababu ya kutoa maelezo marefu zaidi ya kusema unazungumzia picha za zamani!!!?? Manake usisahau mleta mada hoja yake ya kwanza kabisa ilikuwa ni ku-post picha za mazishi!!!!
Lakini kwa upande mwingine, yaani chige aje kutoka povu kwamba sijui fulani hajiheshimu eti kisa ka-post picha "zisizofaa" mtandaoni?! Wakati huo huyo mtu ni ndugu yangu, au?!
Sio chige mimi na cku ukiona kitu kama hicho basi fahamu ID yangu imeibiwa! Sina muda na nini mtu anafanya Instagram!!! Na ukiona nime-post mada kama hizo basi itakuwa ni ama kuwa-diss wanaotoka povu au nitakuwa kimatani zaidi kuliko ku-mind!!
Trust me, I don't care!!! Hata hii issue ya Ben Pol majuzi nilikuwa nawacheka tu watu wanavyotoa mapovu!!!!
Unasema wewe?! Hebu fuatilia hiyo mijadala uone watu wanavyotoka povu!!Mbona nilikujulisha kuwa sio picha za msiba mpaka nikakutolea mfano jinsi watz tulivyo? ahaaa tuachane na ilo hatutomaliza hapa!
Mkuu unaamini watu wanaotoa mapovu mitandaoni wanakua wamemaanisha yaan wamekasirika kabisa? Nadhani hawapo serious kiivyo, muda mwingine mtu anaamua tu kuchangamsha au kupoteza muda.
ahaa hapo kukumention nilishindwa bana ushamba dot.com ha ha ha ha
Ah! My best friend wangu wewe siku hizi huadimiki JF?! Ushamaliza mock exams nini 😀😀?!!Sit my son....drink some water[emoji23] [emoji23]