Dai mtazame Zari kwa jicho la 3


Mwanaume hakai eda we bibi........anaweza hata kuacha maiti ndani akaenda kuoa huko kwingine akaja na mke mpya kuzika marehemu mkewe,NI MARUFUKU MWANAUME WA KISLAMU KUKAA BILA MKE,HASWA KAMA HANA SABABU YA KUFANYA HIVYO!
 
Naona unatoa povu we babu

Umesema mwanaume wa kiislam,mie mkristo hainihusu hio sheria
Mwanaume hakai eda we bibi........anaweza hata kuacha maiti ndani akaenda kuoa huko kwingine akaja na mke mpya kuzika marehemu mkewe,NI MARUFUKU MWANAUME WA KISLAMU KUKAA BILA MKE,HASWA KAMA HANA SABABU YA KUFANYA HIVYO!
 
True fact,watakaokupinga wanaongozwa na chuki dhidi ya zari,kavumilia mengi sana
 
Ya kwako yanakushinda ya wenzako utayawezea wapi?
 
Uliyosema yote ni kweli.
 
Ah! My best friend wangu wewe siku hizi huadimiki JF?! Ushamaliza mock exams nini 😀😀?!!
Umenichoka asee mi wa mock[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji31]
 
Hahaha yule mtoto ni wa Dai jamani,waangalieni lips zile
Hata tifa mlisema sio wke,sijui shida ni nini hivi wewe ukiambiwa baba yko unaemjua sio baba yko halisi utajisikiaje.....diamond sio boya kiasi hicho abambikiwe mtoto
 
Hao akili zao wanazijua wenyewe wao kazi ni kumsema huyo zari,wengine hpo utakuta hawajui hata baba zao.....
 
Post yote hii tatizo ni Utajiri wa Diamond! Angekuwa Kapuku asingeshauriwa. Mbona hajashauriwa mime mpya wa Flora Mmbasha? Jaki Pungufu hakushauriwa pia. Zari anawaumiza sana wadada wengi roho kwa Bahati aliyojaliwa ya kupata Rich and Famous men, Watoto wazuri na wanaotunzwa vizuri, kwenye makazi bora, mavazi na chakula bora, Elimu ya kueleweka. Halafu mama yao bado bomba shining! Nani akifiwa na baba Watoto wake watatu ghafla hawezi kumlilia? Watoto watakuchukuliaje? Zari amefanya Ubinadamu na ndivyo ilivyo. Zari na Diamond Piga kazi mapenzi ni yenu, Watoto wenu, Mali zenu. You never know mnaweza team up Mali na Family yenu mkaishia kuwa the best Blended Family in Africa.[HASHTAG]#iamwithzari[/HASHTAG]&dai#
 
Kama kutonyoa vuzi ni usafi basi,Zari ni msafi kuliko wanawake wote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…