La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
- Thread starter
- #121
HhahahahhahaaaMajonzi mnakuwaga nayo nyinyi watu wenye njaa njaa, matajiri wakipatwa na misiba hawalii kwa mayowe wanatoa tu handkerchief wanafuta pua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HhahahahhahaaaMajonzi mnakuwaga nayo nyinyi watu wenye njaa njaa, matajiri wakipatwa na misiba hawalii kwa mayowe wanatoa tu handkerchief wanafuta pua
hili jina lako sidhani kama ulitaka liwe hivyo lilivyoSipend kuingilia mapenzi ya watu mm watajua wenyewe
DAIMA ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE
KUNA WANAUME WANAFIWA NA WAKE ZAO NA KISHA WANAOA NDANI YA MWEZI MMOJA ILA WALA HAWASEMWI VIBAYA ZAIDI YA KUSIFIWA
KASHESHE AFANYE HIVYO MWANAMKE ALIYEFIWA NA MUMEWE NDANI YA MWAKA MMOJA ATATUKANWA MATUSI YOOTEE,MASIMANGO TELE VIONGOZI WA WANAFIKI HAO WATUKANAJI NI WANAWAKE WENZAKE AISEE
View attachment 517504
#amwithzari#
Kwann mkuuhili jina lako sidhani kama ulitaka liwe hivyo lilivyo
Mwanaume hakai eda we bibi........anaweza hata kuacha maiti ndani akaenda kuoa huko kwingine akaja na mke mpya kuzika marehemu mkewe,NI MARUFUKU MWANAUME WA KISLAMU KUKAA BILA MKE,HASWA KAMA HANA SABABU YA KUFANYA HIVYO!
Umeongea vyema sana, halafu sijui kwa nini inaonekana Zari alimuacha Ivan na sio Ivan alisababsha ndoa yao kwisha? Yaani zari avumilie vituko ndani ya nyumba kwa sababu tu kuna hela? Mara ngapi Ivan alikuwa anatoa maneno ya shombo kuhusu Zari? Alifikia hata kuvujisha video ya Zari akijitia na dude la bandia?! A mesababisha ndoa kufa kwa ajili ya kuamini kwenye pesa Zari kuanza maisha mapya akaumia tena, yaani Ivan alitaka Zari aharibikiwe maisha ndio iwe furaha yake kwamba alimuweka mjini, halafu kwani Zari alijua Ivan atakufa lini yeye awe mrithi? Asilaumiwe kwa lolote.
Uliyosema yote ni kweli.Habari zenu wana jamvi...
Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.
Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona watu wakimsifia Zari na kumuita mwanamke Shujaa ama shupavu,lakini nimekuja kugundua kuwa mwanamke wa kweli hapaswi kuwa na haiba kama ya Zari.Nasema hivi kwa sababu zifuatazo...
1) Amefiwa na mtu aliyeishi naye pika pakua kwa zaidi ya miaka 10 lakini alikuwa na nguvu ya kupost picha mtandaoni(Siyo moja)na captions juu wakati bado mazishi hayajafanyika
2) Jana kwenye kipindi cha Amplifier alihojiwa na Millard na alikuwa anaonge kwa kujiamini na sauti yake haikusikika kuwa na majonzi hata kidogo(Note:Angekuwa mwanamke mwingine angekuwa bado yuko down sana na pengine angeshindwa hata kuongea kwenye Interview)
3) Ni opportunist Mzuri sana,Kama aliweza kuzaa na Ivan watoto watatu na akapata ujasiri wa kumuacha na kwenda kwa wanaume wengine,,basi hata Dai anaweza kukuacha vile vile(Anachojua yeye ni kuwa once yo dating a rich guy,future yako na watotot wako ni ya uhakika)Mfano halisi ni sasa,aliitwa Zari the boss lady sababu ya jeuri ya fedha za Ivan,now ataitwa Zari the Don sababu ya jeuri ya fedha za Ivan pia
4) Siamini ndani ya moyo wangu kama Zari alimpenda Diamond kama Diamond,naamini ile fame ya Dai ndo iliyomvuta yeye kuwa na Dai(Na kwa hili amefariki,kwa sasa Zari ni moja ya wanawake maarufu sana Africa)So Dai watch out you never know siku fame ikiisha,je atastick up na wewe au atamove on huku akiendelea kupata child support?Ukitaka kuprove hili,jiulize ni kwa nini kipindi kile mna mgogoro mpaka mama Dai akampost Wema(Japo Maza alifanya uswahili kwa hili) Hujiulizi ni kwa nini Zari alikimbilia kushika mimba nyingine wakati Tifa alikuwa bado mdogo sana?
5) Katika malezi nimeona ana mazuri yake kama vile kuwafundisha watotot wake kujitegemea wakiwa bado wadogo lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
Namalizia kwa kusema hivi,Japo Zari ana roho ngumu lakini ana mazuri yake pia,Huyu mwanamke ni msafi,unaweza ukathibitisha hili kuptia picha zake,Sebule yake ni safii,Wardrobe yake poa kabisaa lakini hata yeye anajipenda sana jao she's acting like an 18 girl wakati ni mama mtu mzima anayepaswa kukaa akibehave ili wanae wajifunze kutoka kwake.
Mchana mwema wapendwa
Umenichoka asee mi wa mock[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji31]Ah! My best friend wangu wewe siku hizi huadimiki JF?! Ushamaliza mock exams nini 😀😀?!!
Jamani umeniua mbavu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Basi Dai na Ivan watakuwa ni ndugu wa damu
Una ushahidi mkuu ?Wanatumikia free mason kama yule mume mwenza wake
Hata tifa mlisema sio wke,sijui shida ni nini hivi wewe ukiambiwa baba yko unaemjua sio baba yko halisi utajisikiaje.....diamond sio boya kiasi hicho abambikiwe mtotoHahaha yule mtoto ni wa Dai jamani,waangalieni lips zile
Hao akili zao wanazijua wenyewe wao kazi ni kumsema huyo zari,wengine hpo utakuta hawajui hata baba zao.....Kwahiyo yule aliyekua analia msibani ni mama yako mzazi...au bibi yako....
Ulitaka agale gale..
Nyie tatizo mnalia kwa sifa...
Msibani ht kuoga hamtaki kuoga eti mna uchungu...
Kwanza kwa kawaida kulia sna ni kukufuru Mungu...
Ulitaka alieje...
Acheni wivu wanawake
Amemjua baada ya tecno kutoa smart 4neUtakua umeanza kumjua after IG
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wamenishinda tabiaNdiyo Binadamu tulivyo View attachment 517502
Kuna siku uliniambia mwaka huu ndo huko LY!! Bas ahsante, kumbe ulinipiga fix!!Umenichoka asee mi wa mock[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji31]
Kama kutonyoa vuzi ni usafi basi,Zari ni msafi kuliko wanawake wote dunianiHabari zenu wana jamvi...