kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Leo hii confirmation imetoka ulaya.
Gazeti la Daily Mail limetangaza kwamba Everton imetua 'the fishing village of Dar es Salaam'.
Tumeambia hawa watanzania mara mingi bila mafanikio.
Leo hii mmeambiwa na neutral party. Dar es Salaam ni kijiji.
Kweli LDC mna kibarua.