ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie kuwa huko kwenye slums za London, mwaka jana BBC wamekuta watu 31 wamejazana chumba kimoja!Aisei hii analysis ni kali, inafaa mtu kuisoma mara kadhaa.... cc: Toyota escudo Mwanzi1
Na hii imewagharimu, USA, UK New Zealand na German wamekataa kwenda kwenye mashindano ya IAAF yanayoendelea Kenya
hayo hawayasemi hawa jamaa wako obsessed sana na Tz aisee, kumbuka will smith alivyokuja serengeti wakawa wanapost pics na kudai yupo masai mara,what the F is wrong with these dudes,ingekuwa hao athletics wamekataa kuja TZ sababu ya terrorism sijui ingekuwaje..TERROR HOTBEDNa hii imewagharimu, USA, UK New Zealand na German wamekataa kwenda kwenye mashindano ya IAAF yanayoendelea Kenya
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Usifananishe akili yako na ya huyo mzungu unajiaibisha
The world’s fastest growing cities
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ndo maana sa hz tunawapa za usohayo hawayasemi hawa jamaa wako obsessed sana na Tz aisee, kumbuka will smith alivyokuja serengeti wakawa wanapost pics na kudai yupo masai mara,what the F is wrong with these dudes,ingekuwa hao athletics wamekataa kuja TZ sababu ya terrorism sijui ingekuwaje..TERROR HOTBED
Over kwa sababu Muzungu amesema?
MamaLakini sisi wakenya inabidi tujitazame upya. Kwa nini kils kizur cha bongo tunataka kiwe cha kwetu? Mara mlima mara daraja kha! This isnt good at all.tunajidhalaliisha buana. Tunasemwa lakini why no changes.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
' Havoc Hahaha collo unatafuta mayai ya iKwani dar sio fishing village????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka hata nairobi ilikuwa ni mbuga ya wafugaji wa kimasai kabla ya kuendelezwa ,sasa cha ajabu ni nini?Inamaanisha mwandishi hakuwa impressed na Dar es Salaam. Kwake, hakuona ikiwa kiwango cha city.
Na hili ni jambo tumekuwa tukimwambia mkilinganisha Dar na Nairobi.
Well they made mistake and correct it according to the article you have provided. If you know anything about daily mail it is one of the worst newspaper in the world when you want to find the truth or for any serious quality journalism. The Times, The Guardian, The Telegraph, New York times, Washington Post will not make this kind of mistake.
Wewe wacha kundanya watu bwana. I read the New York Times and Wall Street Journal every week and they always have a small section titled "Corrections & Amplifications" where they correct the mistakes they made from the previous edition.To err is simply human so please stop elevating these western papers to demi-gods infallible status.