Hapo nairobi wangekosa chakula maana mmeshagaana chote!suppose these guys were to touch down Nairobi, ungesikia
- East & Central Africa's biggest economy
- East & Central Africa's business hub
Bado ni mtumwa wewe, inasikitisha sana mkenya wa 2017 bado una mentality ya kitumwa kiasi hiki.
Yaani kasema MZUNGU basi kwako ndo confirmation tayari, mtashikiwa akili mpaka lini??
Nchi za magharibi na marekani hazijawahi kuwa neutral part kwa bara la Africa hata siku moja!La kwanza, hujui kama mwandishi ni mzungu.
La pili, nilisema hii confirmation imetoka kwa 'neutral party'. Ata ingekuwa gazeti la Nigeria ningesema hivo hivo.
'Neutral party' kwa sababu najua kizungu ni shida, inamaanisha mtu asiyehusika.
Ndivo ulete topic ya mzungu inadhibitisha wewe ndio mtumwa.
Wameshapata vidonge vyao hao,Wapi [HASHTAG]#KOT[/HASHTAG] tuwasaidie hawa Wabongo kupiga makelele maana hii ni dharau ya mwaka....uuuuiiiii!!!!!!!
well said bruh...well said..Inamaanisha mwandishi hakuwa impressed na Dar es Salaam. Kwake, hakuona ikiwa kiwango cha city.
Na hili ni jambo tumekuwa tukimwambia mkilinganisha Dar na Nairobi.
Wewe ile ya gor mahia hukuona hilo gazeti lilivyoandika? wacha tulipe vidonge!hehehe..watz wamemwaga povu la Omo vilivyo...poleni sana kwa kuitwa fishing village...hehe...sindano imechoma vizuri
Gor mahia wamwitwa little known to world standard iyo ni true same na dar to world standard ni a fishing villageWewe ile ya gor mahia hukuona hilo gazeti lilivyoandika? wacha tulipe vidonge!
Obama alikaa siku tatu hapa lakini magazeti ya UK hayakuandika nonsense kama hz
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Usifananishe akili yako na ya huyo mzungu unajiaibishaGor mahia wamwitwa little known to world standard iyo ni true same na dar to world standard ni a fishing village
sent from iPhone 7
Fastest growing in populationUsifananishe akili yako na ya huyo mzungu unajiaibisha
The world’s fastest growing cities
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
ningetaka nikupinge ila umesema ukweli hapo...hawa wazungu huwa wanatudharau sana...yaani amesema vibya kuhusu Gor na Dar...eti a kenyan club that little is known for...ok it might be true that it is not popular but do you have to right that in a newspaper....nikama dharau...Arsenal wanacheza mechi ya kirafiki kule Australia sasa hivi lakini hakuna aliyeandika hivyo...Wewe ile ya gor mahia hukuona hilo gazeti lilivyoandika? wacha tulipe vidonge!
Obama alikaa siku tatu hapa lakini magazeti ya UK hayakuandika nonsense kama hz
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
kwani akili ya muzungu si ni kama hii hii yetu ama kuna tofauti gani...?Usifananishe akili yako na ya huyo mzungu unajiaibisha
The world’s fastest growing cities
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
wah!! me too...that will be global newsNa hope Gor ichape Everton tuone vile wataandika
sent from iPhone 7
Akili inaweza kuwa sawa ila mentally ni tofautikwani akili ya muzungu si ni kama hii hii yetu ama kuna tofauti gani...?
Dharau zao no kubwa sana hawa jamaa! Nadhani zimetokana na ukweli kuwa walitutawala!ningetaka nikupinge ila umesema ukweli hapo...hawa wazungu huwa wanatudharau sana...yaani amesema vibya kuhusu Gor na Dar...eti a kenyan club that little is known for...ok it might be true that it is not popular but do you have to right that in a newspaper....nikama dharau...Arsenal wanacheza mechi ya kirafiki kule Australia sasa hivi lakini hakuna aliyeandika hivyo...
Aspects nyingine pia zinazingatiwaFastest growing in population
sent from iPhone 7