Elections 2010 Daily News: Slaa will not be the fifth president of Tanzania!

Naamini wanasheria wa Chadema, Wakili Mabere Nyaucho Marando na Wakili Tundu Antipas Lissu, wameshaliandikia "demand letter" (barua ya nia ya kushtaki) hilo DAILY NEWS kwa kashfa hiyo nzito inayowagusa watanzania wengi wenye upeo wa kutosha wa elimu ya uchaguzi ambao hawadanganyiki!
 
Katika editorial yao wameandika hivi (miongoni mwa mengine):

..And the truth is that DrWillibrod
Slaa will not be the fifth president of Tanzania.

Yaani Dailynews wanahakika (au wanahakikisha) kuwa Dr Slaa hawezi kuwa raisi wa Tanzania.
Wao ni nani kujua na kutangaza hili? Wameambiwa nini na serikali ambacho wananchi wengine hawajui?
Je tume ya uchaguzi inafanya nini kuhusu hili? BTW- Dailynews ni gazeti la serikali ya watanzania wote.

Dailynews linaendeshwa kwa pesa za kodi ya watanzania wote na sio ccm pekee.
Kama DTV walifungiwa kwa kutangaza matokeo ya Zanzibar mwaka 1995 kabla ya NEC,
Mbona Dailynews wamefanya hivyo hata kabla kula zenyewe hazijapigwa? na ni kwa mamlaka yapi?

Serikali inabidi ichukue hatua mara moja kuhusu hili, na vyombo vingine huru vya habari nchini inabidi vikamate bango ili Dailynews wapate staili yao kwa hili.
 
Kingine cha kutia kichefuchefu walichoandika ni hiki:

He will, indeed, garner some votes in October, just like Augustine Mrema in 1995, but that will be it, and the media behind the former priest can quote us on that.
 


Yes, nadhani hili inabidi likemewe kwa nguvu zote, na CHADEMA litumieni vizuri ni mtaji safi sana kwa wapiga kura, lipelekeni kwa wananchi, ili wanapopotoa hukumu yao 31 iwe ni ya haki na kweli, eleza vyema kwa kielelzo hiki jinsi serikali inavo sema kwa maana kwamba ilivo jipanga kuhujumu haki ya kura zetu kwa kutupachikia raisi wao!
 
Kingine cha kutia kichefuchefu walichoandika ni hiki:

Unajua kuwa hata utawala wa kirumi wakati wa kuanguka kwake ulijaribu kutumia vyombo kama hivi na bado ulianguka.Mwisho wa SISIEM umeefika hata wafanyeje, kuanguka kwa CCM empire has come to an end, no mercy on that.
 
CCm tunasema ushindi kwetu ni lazima sasa unataka vyombo vya habari vilipoti nini bwana ushindi kwetu tunao tena mkononi tutashinda tuu!! hata kwaaa...... ccm oleeeeeeee!!
 
Mkuchika the ball is on your side! tuone sasa! Hii haikubaliki kbisa!
 
After all does the DAILY NEWS editor understand the meaning of tabloid? he should go back to school to learn communication skills. That is why he doesn't comprehend the intensity of his language. I don't think RAIA MWEMA could be termed as tabloid, it is reputable newspaper.
 

ccm ushindi kwetu ni lazima!! ccm oleeeeeeeee!!
 
It is not fare to take bits and pieces of an article na kufikia conclusion. Uli takiwa kutoa the whole article wasomaji waone ni kwa nini conclusion hiyo ilifikiwa na hilo gazeti. Anyway down here I'll quote an article from the editor of Daily News. Somemi kitu kizima ndiyo mtoe hukumu.

 

Na hiyo article nzima imepinga nilichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…