Daily News: Zaidi ya watu milioni 10 nchini wanaweza kushtakiwa kwa kutumia VPN

Daily News: Zaidi ya watu milioni 10 nchini wanaweza kushtakiwa kwa kutumia VPN

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Ingependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano, pia maisha ya dunia yetu kwa sasa watu wengi huitaji mtandao si kwa ajili ya kutizama mambo yao ya kisiasa watu wengi hutumia mtandao kwa ajili ya kuendeshea biashara zao mbalimbali au opotunuty seekers ajira na kadhalika just imagine once you decide to bind that man from networking?

1605013370190.png

Ingependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano
Waanze kujenga magareza kwanza maana yaliyopo hayatatosha kutufunga wote.
Alaf wakishatufunga waangalie namna gani watapata kodi kwakuwa wengi tutakuwa jela, sijui hizo VX wataweka mafuta kwa hela ya nani? Na posho watajilipa kwa hela ya nani?

Wafanye haraka watufunge.
 
Kwa nini tcra wasiangalie namna ya kiteknolojia ya kuzuia matumizi ya VPN kuliko kuwatwisha magereza jukumu la kutunza wahalifu wasiofanya uharifu
 
Kwa nini tcra wasiangalie namna ya kiteknolojia ya kuzuia matumizi ya VPN kuliko kuwatwisha magereza jukumu la kutunza wahalifu wasiofanya uharifu

Ukifunga sawa na kusema kula usinye.njia inayotumia VPN ndio njia inatumia mawasiliano ya internet.funga internet utakomesha au tengeneza internet yako
 
Wao wenyewe wanatumia VPN kuipata wakiwa majumbani kwao[emoji3]
 
Back
Top Bottom