Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wafungue hizo kesi haraka tuoneIngependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano
Waanze kujenga magareza kwanza maana yaliyopo hayatatosha kutufunga wote.Ingependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano
Bogus.Ingependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano
Pia itakuwa Nchi ya kwanza duniani kuwa na raia wake wengi Magerezani kuliko watakaobaki uraianiItakuwa nchi ya kwanza kufunga raia wake wote wakiwemo Mawaziri , wabunge na Askari
Kwa nini tcra wasiangalie namna ya kiteknolojia ya kuzuia matumizi ya VPN kuliko kuwatwisha magereza jukumu la kutunza wahalifu wasiofanya uharifu