Daily News: Zaidi ya watu milioni 10 nchini wanaweza kushtakiwa kwa kutumia VPN

Hawana haja ya kujenga gereza....
manake ni wengi...
wazungushe wigo Tz nzima
 
Njia rahisi ni hii:
nenda Psiphon | Uncensored Internet access for Windows and Mobile uchukue psiphone.
Ni programu ndogo. Ilibuniwa kwa watu katika nchi kama China na Iran ambako serikali zinalenga kuzuia kila kitu mtandaoni.
Si app, kwa hiyo si rahisi kuigundua wakati mtu anashika simu yako na kuiangalia.
Baada ya download, kopi katima folder fulani, haitatambuliwa kirahisi. Futa kwenye download.

Inafaya vizuri. Unaweza kuchagua nchi ulipo. Hii inasaidia wakati unataka kuangalia ukurasa unapoambiwa THIS IS NOT FOR YOUR COUNTRY. Unachagua tu upo Marekani, Uingereza, wapi.
Inaweza kukwama wakati intanet haina spidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…