Inasikitisha sana mkuu 😂Mwiko unao wewe
🤣🤣🤣Mwiko unao wewe
Ni kweli mkuu ila sasa katika kizazi hiki cha matusi maana imebadilishwaHatuwezi kubadili slogan sababu ya utani wa jadi, mbona yalikuwepo ya yeboyebo, gongo wazi yote yamepita na tumesahau? Hili nalo litapita.
Hii slogan ni motisha hata katika maisha binafsi, ukisonga mbele songa bila kutazama nyuma.
Mwiko katika slogan hauna maana ya mwiko wa kupikia, bali ni katazo la kutokurudi nyuma.
Hivi huwa ni mwiko wa pilau au ni wa mboga tu?Mwiko unao wewe
Neno sahihi ni Young Africans, hilo la Yanga limetokana na wabongo wenzetu wa kipindi hicho kushindwa kunyosha kimalkia ipasavyo hivyo badala ya kutamka Young Africans wao wakawa wanaita Yanga. Ni sawa sawa na kule Morogoro wilaya ya Kilombero kuna sehemu inaitwa Signal ila kwavile wazee wetu walilishinda hilo neno kukaitwa Ziginali na hadi leo ndio jina linalotumika hiyo sehemu.Upo sahihi kabisa, kuna kauli mbiu nyingine ukiziweka ni rahisi watu kuwakebehi , kuwashalilisha na kuwacheka.
Pia sijua ni kwa nini Yanga haikutafuta nembo yenya maana kubwa. Kiukweli jina la Simba linawabeba sana na lina maana kubwa YA USHUJAA.
Hivi kweli Yanga walikosa jina la maana hadi kujiita Young African/Yanga. Hivi walikosa jina la maana na lenye thamani hata mtu akilisikia haina haja ya kutaka kujua lina maana gani.
Yaani hadi mtu atafsiri maana ya Yanga!!!!.
Mara tunaona vikandambili, unga wa Yanga.
NINA IMANI IPO SIKU WATAKUJA VIONGOZI WENYE UELEWA ZAIDI NA WATAONDOA HUU UJINGA.
JINA SIO MSAAFU KWAMBA HALIBADILIKI.
SIMBA INAJIBEBA YENYEWE BILA HATA YA MATANGAZO. JINA LA SIMBA LINAVUTIA SANA
Kwa hiyo mmejichomekea na huwa mnauchomoa wenyewe?Ninyi kiboko sana.Nyuma mwiko mkubwa kama kasia.Tarehe 5/11/2023 ndo ulitumika kuwapakua
Kabisa mkuu ni upuuzi sana, saivi wanatusema kwamba daima mbele nyuma kuna mwiko. Haifai kabisaUpo sahihi kabisa, kuna kauli mbiu nyingine ukiziweka ni rahisi watu kuwakebehi , kuwashalilisha na kuwacheka.
Pia sijua ni kwa nini Yanga haikutafuta nembo yenya maana kubwa. Kiukweli jina la Simba linawabeba sana na lina maana kubwa YA USHUJAA.
Hivi kweli Yanga walikosa jina la maana hadi kujiita Young African/Yanga. Hivi walikosa jina la maana na lenye thamani hata mtu akilisikia haina haja ya kutaka kujua lina maana gani.
Yaani hadi mtu atafsiri maana ya Yanga!!!!.
Mara tunaona vikandambili, unga wa Yanga.
NINA IMANI IPO SIKU WATAKUJA VIONGOZI WENYE UELEWA ZAIDI NA WATAONDOA HUU UJINGA.
JINA SIO MSAAFU KWAMBA HALIBADILIKI.
SIMBA INAJIBEBA YENYEWE BILA HATA YA MATANGAZO. JINA LA SIMBA LINAVUTIA SANA
Umeleta uzi wa mwiko ulitarajia unyweshwe uji wa ulezi?Bado haujayaelewa ya mpira.Kaa vizuri mwiko utolewe.🤣🤣🤣🤣upate familia uache ujinga
Mtu mwenyewe ana kisirani hajui utani.Hapendi mwiko uwe nyuma.Binafsi sioni shida na huu msemo. Binadamu na hila zao wanajaribu kupindisha maana ya maneno na kauli ulimwenguni kote. Kwakua kilichomaanishwa sio kinachotafsiriwa basi hakuna sababu ya kubadili huu msemo. Ningekushauri ukaulize maana kabla hujaja kuleta haya maoni yako.