Daima mbele nyuma mwiko, huu msemo ubadilishwe mapema.

Daima mbele nyuma mwiko, huu msemo ubadilishwe mapema.

Umeleta uzi wa mwiko ulitarajia unyweshwe uji wa ulezi?Bado haujayaelewa ya mpira.Kaa vizuri mwiko utolewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nina mwiko wangu ambao ukiutaka nakuletea[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Binafsi sioni shida na huu msemo. Binadamu na hila zao wanajaribu kupindisha maana ya maneno na kauli ulimwenguni kote. Kwakua kilichomaanishwa sio kinachotafsiriwa basi hakuna sababu ya kubadili huu msemo. Ningekushauri ukaulize maana kabla hujaja kuleta haya maoni yako.
Hivi wabongo mnawaelewa vizuri kweli?? siku yakikukuta ya mwiko utanielewa
 
Hivi wabongo mnawaelewa vizuri kweli?? siku yakikukuta ya mwiko utanielewa
Wewe umeanza lini kushabikia mpira? Utani ni mambo ya kawaida na hutaniwi wewe peke yako. Kwahiyo kaa kwa kutulia na tuliza hisia zako hatuwezi kubadilisha msemo wa club kisa mmekerana huko mtaani kwenu.
 
Kwa dhati kabisa ninauomba uongozi wa yanga,, ukae chini ubadilishe hii slogan ya daima mbele nyuma mwiko.

Slogan hiyo imekua ikitumika vibaya kututusi wanayanga kwamba tunatembea na mwiko,, kitu ambacho ni tofauti na maana iliyodhamiriwa.

Saivi huku mtaani na mitandaoni tunapata shida sana kwakweli. Kila mara imekua mwiko mwiko.

Napendekeza msemo huu usemao : KWETU USHINDI DAIMA au USHINDI DAIMA. Mambo ya mwiko tumeyachoka
Ni rahisi kubadili dini lakini sio rahisi kubadili kabila lako la asili..

Yanga imetoka kwenye mabadiliko mengi,,
Yanga kandambili ,
Yanga Raizoni

Lakini slogan ya daima mbele NYUMA MWIKO ipo pale pale..
And it will Neve change...


Na huo mwiko huko nyuma ndy wapinzani wenu wanautumia kuwadhoofisha kila mkikutana..
 
Back
Top Bottom