Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wabongo mnawaelewa vizuri kweli?? siku yakikukuta ya mwiko utanielewaBinafsi sioni shida na huu msemo. Binadamu na hila zao wanajaribu kupindisha maana ya maneno na kauli ulimwenguni kote. Kwakua kilichomaanishwa sio kinachotafsiriwa basi hakuna sababu ya kubadili huu msemo. Ningekushauri ukaulize maana kabla hujaja kuleta haya maoni yako.
Wewe umeanza lini kushabikia mpira? Utani ni mambo ya kawaida na hutaniwi wewe peke yako. Kwahiyo kaa kwa kutulia na tuliza hisia zako hatuwezi kubadilisha msemo wa club kisa mmekerana huko mtaani kwenu.Hivi wabongo mnawaelewa vizuri kweli?? siku yakikukuta ya mwiko utanielewa
Ni rahisi kubadili dini lakini sio rahisi kubadili kabila lako la asili..Kwa dhati kabisa ninauomba uongozi wa yanga,, ukae chini ubadilishe hii slogan ya daima mbele nyuma mwiko.
Slogan hiyo imekua ikitumika vibaya kututusi wanayanga kwamba tunatembea na mwiko,, kitu ambacho ni tofauti na maana iliyodhamiriwa.
Saivi huku mtaani na mitandaoni tunapata shida sana kwakweli. Kila mara imekua mwiko mwiko.
Napendekeza msemo huu usemao : KWETU USHINDI DAIMA au USHINDI DAIMA. Mambo ya mwiko tumeyachoka